Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge


All the best mkuu
 
Safi [emoji106][emoji106]
 
Mimi nimeanza juzi ila kuna jamaa humu amekoment kwamba yeye yuko mwezi wa nne sasa na faida alizopata ameziorodhesha, ukipitia koment vizuri utakutana nae.
Bryon Long [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


 
Kwa yeyote atakae join tunaomba atumie hii app kuna mdau Lucha ameileta humu nimeicheki nakugundua ni nzuri sana ukistart mfano leo hata kama siku zimepita umesahau ni siku ya ngapi ukifungua unakuta inakwambia leo uko siku labda ya kumi na kadhalika.

Sikuwa naijua hii app hivyo nimeinstall leo na siku yangu inaonekana imeanza leo lakini nilianza toka jpili hii......Pia ni rahisi kuoneshana kwenye updates za humu ndani yaani unascreen short kisha unaprove kwa wadau kwamba hujacheat maana ukiscreen short pale mbele kila kitu kinaonekana kwamba ni siku yangapi toka ulivyoanza challenge.

APP YENYEWE NI HII INAITWA IRON WILL. JINA LA APP TU KWANZA LINAKUPA MOLARO YAANI "IRON WILL"

NATUMAI KWA WALIOJOIN HAWATA CHEAT.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-05-24-08-47-58-651_com.android.vending.jpg
    76.1 KB · Views: 90
  • Screenshot_2022-05-24-08-48-29-985_com.android.vending.jpg
    76.2 KB · Views: 94
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…