Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mmmhhhh!!!!
Hongera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhhh!!!!
Mie naomba niwe huyu wakupunguziana makali ya genye basi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama wa kupunguziana makali tu fresh mawivu hutosikia.
Mmh nn mrembo?Mmmhhhh!!!!
Hongera.
jamani ma toy...yooote hayo?? Basi chongeni vimiti halafu unakivalisha condom.hii ni nzuri unachonga size inayo kufaa kwa unene na ufupi....km kazi saaana kamatia matango.ndizi.muhogo mbona nyie raha tuu. Ok! Km vipi mnaweza fuga mbwa dume km wazungu....wale mbwa ndo kazi yao.Acheni hizooo, sasa mnataka wanawake wale nini....!!
Wakale wapi...!!!
Halafu utamu wa Ke aukulenani....??!
Ngoja nikawasemee...
la nuksi nakukubali mtu wangu demu wangu jacky wa zamani nimekaa nae jata sikujua utajiri ni ni lkn nilipo muacha maweee!! Ma..bus mengi yakawa maradufu yanaingia na kutoka..Hotel 15 nilijenga mwaka tu..10 nje ya nchi ziko zinakula mzigo.Hi nzuri ina faida zifuatazo.
-inakuepusha na magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya ngono.
-inakuepusha na nuksi.
-inakuepusha na majanga mbali mbali mfano,mimba zisizo tarajiwa,kufumaniw nk.
-inakuepusha na vizinga mwambatano.
-unapata utulivu wa nafsi.
-akili inajikita kwenye ukuaji wa uchumi wako.
-Unarejesha nguvu upya za sexx
Sawa uko sahihi kabisa lakini ukumbusho ni kwamba NofapWasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......
NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Mwaka na nusu sio mchezo.Mmh nn mrembo?
Kumbe duniani **** challenge nyingi!!!!!![emoji16][emoji16] vigezo na masharti kuzingatiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa uko sahihi kabisa lakini ukumbusho ni kwamba Nofap
Itakua sensitive kama pia ukiaachaa ya fuatayo
unywaji pombe.. kupitiliza.. hapa kwa wale wanaotumia pombe unaweza kunywa chupa mbili au tatu tu za pombe zenye wastani wa alcohol 5.5
Uvutaji sigara zenye wastani wa nicotine 1.1 iwe moja kwa siku
Punguza kulala sanaa wastani wa masaa 7.mpaka 6.
Punguza kula wastani wa meals 2 mpaka 3.kwa siku.
Punguza msongo wa mawazo wastani wa proyteg fox pre2 uwe under 0.pre1
Punguza kuwa na watu karibu.. at least 30 minutes ..
Faya ibada au salaaa ..
BBC News, SwahiliIkiwezekana tutafte kabisa njia ya uzaz wa mpango wa wanaume. Njia tofauti na condom& withdrawal.
#NoFap#
Sasa unawapanga wanawake na wakati upo kwa hiyo challenge?Mleta thread umechelewa kuileta hii kitu sababu Kuna faida nyingi sana kuliko unavyoweza kudhani. Ushuhuda wangu mimi ninakaribia mwaka Sababu nilianza huu utaratibu siku ile aliyokamatwa Mbowe kwa kesi ya ugaidi akiwa mwanza, nafikiri ulikua mwezi wa saba hivi ila tarehe siikumbuki, Nilibidi nifanye hivyo maana nilikua napoteza energy nyingi sana kumshawishi manzi aje gheto, akifika gheto hawezi kuondoka bila kumtoa, Ukimtoa haishii kunungunika kwamba haimtoshi, hapo raha zote zinakatika, nikasema haya maisha yasinifanye mimi utopolo, Nikaweka nia ya kutofanya ..nyeto pamoja na sex nione inakuaje, wiki ya kwanza ikakatika ya pili mara mwezi mpaka hivi sasa.
Faida zake sasa.
Nyele zinaota zikiwa nene.
Macho yenye afya..ule wekundu ndani ya macho unapotea.
Ngozi yenye afya Maana yale maji Maji yasipotolewa kwa muda mwili unazivunja vunja hivyo ngozi inakua safi.
Ndoto nyevu zinapungua jinsi unavyoongeza siku.
Kuongezeka kwa umakini katika jambo yaani ukitaka kufanya jambo utahakikisha unalifanya kwa Sababu ya ule msukumo wa energy.
Wanawake watakuona unavutia zaidi hivyo utawapanga jinsi unavyotaka.
Hii app itanisaidia niache kubet tu maana hii addiction nakoelekea inaniathiri zaidi ya mwanume anayejichukulia sheria mkononiKwahiyo ww ulikuwa unatumia kichwa kuhesabu chukua kitu hicho ndio kizr zaidi
Big up sana mwamba kwa kuongezea nyama hapo..... Ni faida konki kabisa hizi ambazo ni lazima kidume yeyote anazihitaji ili kutimiza malengo man. Team NoFap.Mleta thread umechelewa kuileta hii kitu sababu Kuna faida nyingi sana kuliko unavyoweza kudhani. Ushuhuda wangu mimi ninakaribia mwaka Sababu nilianza huu utaratibu siku ile aliyokamatwa Mbowe kwa kesi ya ugaidi akiwa mwanza, nafikiri ulikua mwezi wa saba hivi ila tarehe siikumbuki, Nilibidi nifanye hivyo maana nilikua napoteza energy nyingi sana kumshawishi manzi aje gheto, akifika gheto hawezi kuondoka bila kumtoa, Ukimtoa haishii kunungunika kwamba haimtoshi, hapo raha zote zinakatika, nikasema haya maisha yasinifanye mimi utopolo, Nikaweka nia ya kutofanya ..nyeto pamoja na sex nione inakuaje, wiki ya kwanza ikakatika ya pili mara mwezi mpaka hivi sasa.
Faida zake sasa.
Nyele zinaota zikiwa nene.
Macho yenye afya..ule wekundu ndani ya macho unapotea.
Ngozi yenye afya Maana yale maji Maji yasipotolewa kwa muda mwili unazivunja vunja hivyo ngozi inakua safi.
Ndoto nyevu zinapungua jinsi unavyoongeza siku.
Kuongezeka kwa umakini katika jambo yaani ukitaka kufanya jambo utahakikisha unalifanya kwa Sababu ya ule msukumo wa energy.
Wanawake watakuona unavutia zaidi hivyo utawapanga jinsi unavyotaka.