Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri tuoneDua la kuku...[emoji1787]
Trust me, itakuwa vice versa...[emoji23][emoji23][emoji23]subiri tuone
Askari: Nini kilikukuta Hadi ukabaka mbuzi
Mbakaji: nilikuwa kwenye challenge ya nofab ghafla nikahisi kuchanyakiwa na mapigoya moyo yanaenda mbiosana nikahisi nataka kufa ndio hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna ujanja huoTrust me, itakuwa vice versa...
Mdada: Nimekumiss sana darling, nitumie nauli basi kesho nije.
Mimi: Hata mimi nimekumiss but nipo ovyo kinoma, hiyo nauli tu kupata ni mtihani.
(Saa moja baadae)
Mdada: Kuna shost angu nimemkopa hela kidogo so kesho nitakuja.
Mimi: Daah I'm sorry, nimepigiwa simu ya dharula kesho niende bagamoyo.
Mtajua hamjui.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Hamna ujanja huo
Utasikia ngoja nifanye kesho kidogo keshokutwa nitaanza Tena challenge[emoji23][emoji23]
Nikisema hii ni sswa na Semen Retention nitakuwa nakosea au? nieleweshe mkuuWasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......
NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Teh teh teh 😂😂😂 JF inafurahisha Sana teh teh teh 😂Hii kitu ngumu jamani.
Nimefikia cheo cha scout tu nikala mzigo.
Kesho naanza upya wadau,sitawatupa members wenzangu humu.
Tuendelee kuhamasishana kwa manufaa ya baadaye.
Sawa tutaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha tuone itakuwaje...
Ila kwa sasa mambo ni hivi[emoji116][emoji116]
View attachment 2239857
Asante mkuu kwa maelezo yako,na ushuhuda wako ngoja nifanye zoezi.NoFap ina nguvu kubwa na faida katika mambo mengi mkuu, watu wengi kwenye historia ni kweli walitumia mbinu hii ku-channel energy kwenye mambo mengine na iliwasaidia sana kuleta raw ideas kwenye maisha halisi.
Unapomwaga shahawa umemwaga energy kubwa sana, unakuwa dhaifu kiroho, kimwili, sometimes kiakili hata kimtazamo.
Kwa hiyo Nofap pia itakupa benefits nyingi sana, unakuwa more resilient, hata kwenye changamoto za kimaisha unakuwa unajiamini zaidi.
Nakumbuka kuna padri mmoja aliwahi kuniambia, "ukiweza kuishi bila kukutana na mwanamke kimwili, nguvu ya kiroho utaipata kubwa sana." Na kweli kuna kipindi nilikaa muda mrefu kuna faida niliziona kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],inaonyesha unapenda sana mkuyenge?!!!,Sasa utamfanyaje?.My man asije kusoma hii thread.
Litamkuta jambo, asiniletee wehu mimi
Mnataka kusuguliwa.Nyie mnataka maisha yawe magumu, wanaume wenyewe mpo wachache, challenge kama hizi hebu ziacheni.
Sisi hatujakubaliana na challenge yenu ni batili kwa kweli.
Ndiyo ndiyo mkweMy man asije kusoma hii thread.
Litamkuta jambo, asiniletee wehu mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa asinit...mbe tunakuwa tunafanya nn yani?
Waimba kwaya?
mxxxxie.
Hiyo miezi 6 sijui mwaka kabla hujaanza kuhesabu unipe talaka tu yaishe mana utakuwa tu unanitafutia kesi.
HUUMWI, ila umeamua tu sijui challenge sijui nn?
We unataka ufe ukiwa na maini sijui figo nzima ili ukazitumie wapi?
Hebu wat..mbeni wake zenu bana.
Challenge kafanyeni za kukimbiza magari huko mrudi nyumbani na makovu makovu mpakwe Iodine yaishe.
Hii kitu ngumu jamani.
Nimefikia cheo cha scout tu nikala mzigo.
Kesho naanza upya wadau,sitawatupa members wenzangu humu.
Tuendelee kuhamasishana kwa manufaa ya baadaye.
Hujakosea mtaalam, uko sahihi kabisaNikisema hii ni sswa na Semen Retention nitakuwa nakosea au? nieleweshe mkuu
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
sasa mtu ka hupendi hiii unakuwa unapenda nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],inaonyesha unapenda sana mkuyenge?!!!,Sasa utamfanyaje?.
af wao wanasema ni kuacha sex.Kufap ni kupiga puchu.
So hiyo ni challenge ya kutopiga puchu