Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

wewe mimi hayo mambo usimwambie mume wangu afanye.
OH!
Unaogopa nini sasa, hata wewe unaweza kujoin ukizidiwa tunakufariji.... team NoFap hatuna hiyana.. tunakaribisha kila mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri tuone

Askari: Nini kilikukuta Hadi ukabaka mbuzi
Mbakaji: nilikuwa kwenye challenge ya nofab ghafla nikahisi kuchanyakiwa na mapigoya moyo yanaenda mbiosana nikahisi nataka kufa ndio hivo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Trust me, itakuwa vice versa...

Mdada: Nimekumiss sana darling, nitumie nauli basi kesho nije.
Mimi: Hata mimi nimekumiss but nipo ovyo kinoma, hiyo nauli tu kupata ni mtihani.
(Saa moja baadae)
Mdada: Kuna shost angu nimemkopa hela kidogo so kesho nitakuja.
Mimi: Daah I'm sorry, nimepigiwa simu ya dharula kesho niende bagamoyo.


Mtajua hamjui.🤣🤣🤣
 
Trust me, itakuwa vice versa...

Mdada: Nimekumiss sana darling, nitumie nauli basi kesho nije.
Mimi: Hata mimi nimekumiss but nipo ovyo kinoma, hiyo nauli tu kupata ni mtihani.
(Saa moja baadae)
Mdada: Kuna shost angu nimemkopa hela kidogo so kesho nitakuja.
Mimi: Daah I'm sorry, nimepigiwa simu ya dharula kesho niende bagamoyo.


Mtajua hamjui.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna ujanja huo
Utasikia ngoja nifanye kesho kidogo keshokutwa nitaanza Tena challenge[emoji23][emoji23]
 
Hamna ujanja huo
Utasikia ngoja nifanye kesho kidogo keshokutwa nitaanza Tena challenge[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣
Wacha tuone itakuwaje...
Ila kwa sasa mambo ni hivi👇👇
Screenshot_20220526-210312.png
 
Wasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......

NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

View attachment 2234241
Nikisema hii ni sswa na Semen Retention nitakuwa nakosea au? nieleweshe mkuu

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
NoFap ina nguvu kubwa na faida katika mambo mengi mkuu, watu wengi kwenye historia ni kweli walitumia mbinu hii ku-channel energy kwenye mambo mengine na iliwasaidia sana kuleta raw ideas kwenye maisha halisi.

Unapomwaga shahawa umemwaga energy kubwa sana, unakuwa dhaifu kiroho, kimwili, sometimes kiakili hata kimtazamo.

Kwa hiyo Nofap pia itakupa benefits nyingi sana, unakuwa more resilient, hata kwenye changamoto za kimaisha unakuwa unajiamini zaidi.

Nakumbuka kuna padri mmoja aliwahi kuniambia, "ukiweza kuishi bila kukutana na mwanamke kimwili, nguvu ya kiroho utaipata kubwa sana." Na kweli kuna kipindi nilikaa muda mrefu kuna faida niliziona kweli.
Asante mkuu kwa maelezo yako,na ushuhuda wako ngoja nifanye zoezi.
 
Sasa asinit...mbe tunakuwa tunafanya nn yani?
Waimba kwaya?
mxxxxie.
Hiyo miezi 6 sijui mwaka kabla hujaanza kuhesabu unipe talaka tu yaishe mana utakuwa tu unanitafutia kesi.
HUUMWI, ila umeamua tu sijui challenge sijui nn?
We unataka ufe ukiwa na maini sijui figo nzima ili ukazitumie wapi?
Hebu wat..mbeni wake zenu bana.
Challenge kafanyeni za kukimbiza magari huko mrudi nyumbani na makovu makovu mpakwe Iodine yaishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom