Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
KabisaBila kuchoka wakuu Kuacha Nyeto inawezekana
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaBila kuchoka wakuu Kuacha Nyeto inawezekana
Mkuu me mwenyewe wananisaka mnoMrejesho
Mpaka Sasa nimefunga mwezi moja bila kula mubususu
[emoji817]Faida
[emoji92]Sipigi nyeto
[emoji92]Siwazi madem, na wala Sina ufala wa zamani kutongoza tongoza
[emoji92]Nafanya mazoez na kula balanced diet, mabadiliko ya uume , umekua ukiongezeka saizi
[emoji92]Hata kubet nimeacha mana Sina stress, zamani stress za kubet zilikua zinaishiaga kuchakata mbususu, kitu kilichopelekea kuyumba kiuchumi
Nimegundua ukiwa hutongozi ovyo ovyo mademu, huwa kuwashobokei hii inakupa credit, wao ndio wa naanza kukusaka... Now kwenye inbox yangu zimejaa text za numekumiss, umebadilika sana siku izi..... Msimamo wangu Sitongozi demu now Nimeamua ni focus kwenye pesa tu.. Yaan I don't care
Me naendeleaIla hii challenge ni nzuri kama wewe ni mchezaji wa mpira utafika mbali sana maana kiwango kitakua sana nimeona aisee
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii addiction sio rahisi kuiacha kama haufanyi maombi au kuwa kiroho zaidi,Kuna nguvu kubwa sana huwa inakuzuia kuacha [emoji849],nilifikisha siku ishirini kamili Ile ya ishirini na moja nilihisi giza usoni nikajilipua [emoji2], majuto ni makubwa sana
Mkuu tusaidie jina la huo uzi wa Nyerere au tuwekee hapa tupate hayo madini