Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mrejesho

Mpaka Sasa nimefunga mwezi moja bila kula mubususu

[emoji817]Faida
[emoji92]Sipigi nyeto

[emoji92]Siwazi madem, na wala Sina ufala wa zamani kutongoza tongoza

[emoji92]Nafanya mazoez na kula balanced diet, mabadiliko ya uume , umekua ukiongezeka saizi

[emoji92]Hata kubet nimeacha mana Sina stress, zamani stress za kubet zilikua zinaishiaga kuchakata mbususu, kitu kilichopelekea kuyumba kiuchumi

Nimegundua ukiwa hutongozi ovyo ovyo mademu, huwa kuwashobokei hii inakupa credit, wao ndio wa naanza kukusaka... Now kwenye inbox yangu zimejaa text za numekumiss, umebadilika sana siku izi..... Msimamo wangu Sitongozi demu now Nimeamua ni focus kwenye pesa tu.. Yaan I don't care
Mkuu me mwenyewe wananisaka mno
Nadhani hii ni vita ya kiroho.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Hii addiction sio rahisi kuiacha kama haufanyi maombi au kuwa kiroho zaidi,Kuna nguvu kubwa sana huwa inakuzuia kuacha [emoji849],nilifikisha siku ishirini kamili Ile ya ishirini na moja nilihisi giza usoni nikajilipua [emoji2], majuto ni makubwa sana
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom