adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Mimi chaguzi za bongo sijawahi kupiga na sina mpango wa kupiga kura ,kama Magu tu ambaye nilikuwa namkubali sikumpigia basi hao wengine ndio kabisa sitowaza hata kuwapigia..Upige na kura kabisa[emoji23][emoji23]