Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mimi chaguzi za bongo sijawahi kupiga na sina mpango wa kupiga kura ,kama Magu tu ambaye nilikuwa namkubali sikumpigia basi hao wengine ndio kabisa sitowaza hata kuwapigia..
hadi 2025 sio kitoto kaka😀😀
 
leo tareh 28/12/2022
naanza rasmi hii challenge
naomb mnipokee ndugu zangu
Screenshot_20221228-174127_Rewire%20Companion~2.jpg
 
Boxers [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] zinachafuka sanaaa
 
Nilicho kielewa kwenye hii challenge ya No fap. Ni kwamba ilianzishwa kwa ajili ya kupunguza wimbi la watoto wa kiume kupunguza kupiga Nyeto ili kuimprove hali zao katika maswala ya tendo nakadhalika (sexual life). Lakini kama ikitokea umepata free pusy au uko na demu, sio mbaya kusex kwan sex na nyeto ni vitu viwili tofauti. Lkn pia tukumbuke Unapofanya sex kupita kiasi pia unakua hauna tofauti na anaepiga Nyeto. So hata kama unakula mbususu, zingatia kujua mipaka ya afya yako.
 
Aise ni nzuri hata kama kichwa kikikuwa hakimbuki Mambo Fulani unakua bright balaa unakuta kijana eti 25x5 unaangalia calculator......
 
Back
Top Bottom