Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

View attachment 2513560
No going back [emoji1491]
Raha ya hii challenge haielezeki. [emoji573][emoji573][emoji573]
Screenshot_20230226-081455_Iron%20Will.jpg
 
Wakuu mimi leo ni 18days naona tofauti ipo hivi kuna sehemu nipo kikazi so nimeamua kujiweka pending na sketi hali ipo hivi

-Hamu ya tendo kama imepungua sijajua kwanini sijui labda niziamshe hisia kwa kushtua kidogo
-naona kujiamini zaidi kumeongezeka
-mixer nilianza tizi stress zimeondoka na mawazo hasi.
 
Kuna mda hisia zinapotea ila kuwa makin na porns
 
Wakuu mimi leo ni 18days naona tofauti ipo hivi kuna sehemu nipo kikazi so nimeamua kujiweka pending na sketi hali ipo hivi

-Hamu ya tendo kama imepungua sijajua kwanini sijui labda niziamshe hisia kwa kushtua kidogo
-naona kujiamini zaidi kumeongezeka
-mixer nilianza tizi stress zimeondoka na mawazo hasi.
Law of Use and Disuse itakuwa applicable. The more you use the more stronger will be and vise versa. Ukiacha kutumia sehumu ya kiungo chako cha mwili icho kiungo kitakuwa dhaifu ndipo apo unakuta mtu hana tena hisia za tendo kama hafanyi mapenzi. Hali kadhalika mtu anaetumia kiungo chake cha mwili mfano mtu akicheza sana mpira miguu yake inakuwa imara sana ukicompare na mtu ambae hachezi mpira na hapigi mazoezi
 
Back
Top Bottom