Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
 
Alikuwa Rais asie penda majungu na mwenye nia ya kuiletea maendeleo ya dhati nchi yake.

Watanzania hatujui itachukuwa muda gani kupata mtu kiongozi wa kweli kama yule dingi.
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu
Screenshot_20220123-202217.png
Screenshot_20220123-202247.png

Screenshot_20220123-202140.png
 
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094

View attachment 2093095
Kuwa mwanaume weweee
 
Back
Top Bottom