Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Majambazi sio watu wa Propaganda kama wewe. Majambazi Wakibomoa, panabomoka tunaona. Wakihamisha tunaona hata walikohamishia. Bado hujajibu!
Acha kupelekwa mawazo yako ya Waswahili wanaovaa khanga za Zanzibar et ni wanajiita wanachama.
Tanganyikans wake up!
Na kweli mlibomoa Kwa kupandikiza fitna chuki na SIASA chafu na propaganda za KITOTO mara kuokota vichwa vya treni mara kununua mapapai barabarani na kuhonga vihela ktk misafara TULIKUA TUNATAWALIWA NA WASHAMBA
Mama sasa anaupiga mwingi mmechanganyikiwa
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Labda wapuuzi na wajinga wenzako wanaoitwa wanyonge ndio wanaweza mkumbuka..

Mimi will never happen under this sun..huyo marehemu wako ni chanzo cha kuharibu hii Nchi.
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Hakumbukwi kwa lolote zuri ila mdhara aliyotuachia ikiwepo kugawa nchi kwa ubaguzi na upendeleo, kuwekeza kwenye miradi ya hovyo km uwanja wa ndege Chato, daraja la Kigogo-Busisi, Hosp kubwa ya rufaa Chato, SGR Mwanza ni uwekezaji wa hovyo kutokea. Ktufanya maskini kwanza kwa kutoajiri miaka yote kwasababu ya roho mbaya tu. Analaaniwa kwa kudhalilisha watoto wa watanzania waliosoma na wanadhalilika mitaani.
 
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094

View attachment 2093095

2462EA74-9AF2-4EC3-9BE9-915A81949CAE.jpeg
 
Watu wa JF huwa mnaishi wapi mnapatikana wapi mbona mnaexperience tofaut na mitaa hamjui kama misosi kwa mama ntilie imepanda wali ni buku jero kwa elfu mbili hamjui kama dawa za meno zmepanda? Muda mwngine nashangaa siasa znapo watoa akili zenu great thinkers

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Hawezi kukumbukwa kushinda anavyokumbukwa Adolph Hittler, Idd Amin Dadah na Mobutu Seseseko
 
Siyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa kwa mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa
Bahati mbaya kwako ni kuwa, hebu jaribu kufuatilia mada nyingi humu, kuna zile za kumkashifu kwanza hazivumi pili hazina replies na like za kutosha ndipo utajua anakumbukwa kwa lipi!.

👉🏾 Nasimama kupinga mnaopinga yasiyopingwa na yanayopingwa.
 
Back
Top Bottom