The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wanamkumbuka aje amtoe gaidiSiyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa la mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa
Sahihi na mzalendoMagufuli alikuwa ni Rais bora sana.
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na LissuInavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
tameer huko wapi? Kuja huku faster udislike hii comment.Siyo ajabu kwa Magufuli kukumbukwa la mabaya aliyoyafanya. Hata Hitler na Mobutu bado wanakumbukwa
WaaaapiiiiMagufuli alikuwa ni Rais bora sana.
Kuwa mwanaume weweeeWAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094
View attachment 2093095