Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Kiongozi yeyote yule awe ni CCM au CHADEMA kukubali kusimikwa kuwa kiongozi wa Kikabila ni makosa makubwa sana. Hasa ktk Karne hii na wakati kama wa leo.
Maana mambo kama haya tusipoangalia vizuri yataligawa taifa letu.!
 
Unacho kisema ni kweli kabisa hata mimi nimeona hilo kabisa

Sema watu watakupinga tu kwasababu ya chuki zao ila uo ndo ukweli
Kwa kweli umeona mbali sana maana kila siku zikisonga wale wapinga Magufuli wanaongezeka ingawa kwa kadri wanavyoongezeka wanazalisha wapinzani wao.

Ila nashauri jambo dogo ukitaka kumpinga Magufuli jibu changamoto zinazo fanya watu wamkubuke lkn ukiwa unajibu kwa maneno wa kukashfu utawala wake utaonekana una wivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…