Kiongozi yeyote yule awe ni CCM au CHADEMA kukubali kusimikwa kuwa kiongozi wa Kikabila ni makosa makubwa sana. Hasa ktk Karne hii na wakati kama wa leo.WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094
View attachment 2093095
Maana mambo kama haya tusipoangalia vizuri yataligawa taifa letu.!