Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Mimi ninachoamini kabisa kwa moyo đź’“ wa dhati ni kwamba muda wa ccm kutawala nchi hii uliishapita kitambo na sasa wako kwa muda wa kukopa.

Kwa mantiki hiyo basi, hakuna mtu atakayeletwa na hicho chama atakayekubalika kwa wananchi, hata wamlete nani itakuwa ni kazi bure.

Ccm has outlived its usefulness and it's no longer a party to beat. Even if they bring an angel as their candidate for presidency to contest the 2025 elections still they ought to forget winning without "a massive vote rigging" something that has become a party's trademark.
 
Wanamkumbuka kwa maovu aliyo fanya.

Mpaka leo hatujui Ben, azori wako wapi..

Bila kusahau alivyo mtuma sabaya kufanya maovu nk nk.
Hao akina Ben na Azory wamelifanyia nini taifa kiasi cha kuwafanya kama Miungu yenu kila mnapomuongelea hayati Magufuli?
 
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
Hiyo Magufuli ,mimi sijui kama nitakuja kumsahau , labda nipate matatizo ya akili
 
Na kagera sugar kuifunga thimba.
Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.

Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?

Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
 
Jeshi gani? La Sukuma Gang? Sahau UJINGA huo Tanzania. Utaandika kwenye mtandao na utaishia hapo, hakuna mjinga anakubali kuingia mtaani. Kwanza watanzania hawana shida kihivyo
Nani kakuambia kuingia mitaani
 
usiwapangie watu mtu wakupenda bwana kama wewe hukumpenda basi , na kumuelewa kwako Magufuli siyo walivyomuelewa wengine au unatakusema wewe ndiye mwenye akili kuubwa na nyiiingi kuzidi wale watu waliookuwa wanajaa mabarabarani kutatuliwa shida zao au unadhani wewe ndiye unayejua zaidi ya wale watu walijaa mabarabarani wakilia na kutandika nguo na mashati siku wakimuaaga.
mkuu acha ujinga
kama wewe humpendi basi waache wanaompenda.
WAPUMBAVU waliamini kweli Magufuli anatatua matatizo barabarani bila kujua kuwa wale ni wana usalama waliopangwa!!

Hivi wewe pimbi msabillah kwa akili yako unaweza kumuuzia Rais mhindi wa kuchoma au jogoo?

Au unaamini kuwa yule Rasta wa kijiweni Chato ni hohehahe kama wewe?
 
Kwa hiyo na wale tunaojuana nao huku mitaani waliofanyiwa vitu vipo Hadi leo ni wanausalama?
 
Hiyo cha mtoto mbona.

2025 uchaguzi na Magufuli na wapinga magufuli.

Atakae cheza karata za Magufuli anaingia ikulu asubuhi tu.

Unacho kisema ni kweli kabisa hata mimi nimeona hilo kabisa

Sema watu watakupinga tu kwasababu ya chuki zao ila uo ndo ukweli
 
Mungu ampe pumziko jema
Kila waliodhulumu uhai wa huyu mzee tutaishudia karma hapa hapa muda kitambo tu
Yeye alivyo dhulumu maisha ya watu lukuki, malipo ya matendo take bado hayajatosha
 
IMG_0949.jpg

IMG_0950.jpg

IMG_0948.jpg
 
Back
Top Bottom