Nimeona uzi humu, ukanikumbusha hali inayonitokea, je niko mwenyewe?

Mpaka uweke vibunda mezani ndio unaona chemchem kwa mbali sana
Haya kazana kutafuta hela, inaonekana huyo wako ukimtumia kibunda halafu hata usiiombe, anakuletea mwenyewe iko chapa chapa, unateleza tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nyege ni ugonjwa wa kukosa hela
Khaaaa hii I'd kila siku ni mada za kufirika kutokea kwenye nchi za dunia ya kwanza. Anaziandika humu halafu hao watu wa dunia ya kwanza ambao wana engage na hayo mambo ndio wanaongoza kwa matatizo ya akili. Jana Kylie Payge Pornstar /Only fans page kaji overdose mpaka amekata moto
 
Hakika porn star Kazi yao ngumu Sana
 
Kweli mkuu ukiwa na pesa unatembea na MAMLAKA..hata njaa unakua hauisikii kabisaa..

Kosa pesa mfukoni utakumbuka mpaka misosi uliyo wai kuisazaa.😊😊
 
Ndiyo hii I'd inatuletea daily hizo mambo za dunia ya tatu. Kuna shida mahali fulani Upweke /Kuona watu hawakupendi /Kulazimisha upewe fake appreciations mitandaoni. Kumbe uhalisia wa hali unayopitia iko palepale
Yes itakuwa anapata relief kupitia engagement ya likes and comment.

Hii pia ipo hata mtaani watu wanajadili mpira ngono na pombe inaonekana ndo sehemu pekee wao hupata relief.
 
Pesa ni ulinzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Binafsi Mimi nikiwa sina pesa mfukoni mpaka Leo huwa naugua/ unyonge pia huwa napotezaga confidence.

Pesa huwa inaleta kujiamini / hata Nuru kwenye uso inakuwepo for sure tutafute pesa / kinyume chake UMASKINI NI MBAYA SANAA.
 
Ayaaaaaaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯... Moyo umepiga paaaaa... Siku nikijaaa dar nampa chochote anachotaka, nikae tu asubuhi Hadi asubuhi
Nilishakwambia utakufa vibaya wewe, nakuhurumia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†

Your browser is not able to display this video.
 
Yes itakuwa anapata relief kupitia engagement ya likes and comment.

Hii pia ipo hata mtaani watu wanajadili mpira ngono na pombe inaonekana ndo sehemu pekee wao hupata relief.
Mkuu haya mambo ni kweli hasa ushabiki wa timu za Kariakoo. Zimewafanya watu kupata temporary comfort kwa timu inayoshinda lakini ukiangalia kwa makini mashabiki wake wa kutupwa wana matatizo ya akili.

Kuna jamaa yangu last week mke wake shabiki wa Yanga kafa, baada ya Yanga kushinda alikuwa kama kachanganyikiwa anakimbia, anashangilia, kupayuka sana. Kufika jioni saa 2 kaanguka kapoteza uhai.

Kimsingi kutafuta relief kwa vitu kama vinavyofanywa na hii I'd sio suluhisho. Ningekuwa namjua ningempa counseling au ningempa kitabu ili aweze kuondokana /kupunguza hali anayoipitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…