DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Duh inasikitisha sana .Mkuu haya mambo ni kweli hasa ushabiki wa timu za Kariakoo. Zimewafanya watu kupata temporary comfort kwa timu inayoshinda lakini ukiangalia kwa makini mashabiki wake wa kutupwa wana matatizo ya akili.
Kuna jamaa yangu last week mke wake shabiki wa Yanga kafa, baada ya Yanga kushinda alikuwa kama kachanganyikiwa anakimbia, anashangilia, kupayuka sana. Kufika jioni saa 2 kaanguka kapoteza uhai.
Kimsingi kutafuta relief kwa vitu kama vinavyofanywa na hii I'd sio suluhisho. Ningekuwa namjua ningempa counseling au ningempa kitabu ili aweze kuondokana /kupunguza hali anayoipitia
Huwa najiuliza upi umuhimu wa kuanzisha uzi halafu ujitag kwa I'd tofauti kuja kutoa uzoefu ulio nao kwa kuzuga kwa I'd tofauti kuwa hauna huo uzoefu?secretarybird , Shyshka Reinhardt na Big Balls njooni mnipe uzoefu wenu!
Mpite na mkasome huu uzi, msije kufa vijana, raha za mabinti wengi zinawategemea.
Endeleeni kuni-analyze hivyo hivyo ndiyo napenda.Ndiyo hii I'd inatuletea daily hizo mambo za dunia ya tatu. Kuna shida mahali fulani Upweke /Kuona watu hawakupendi /Kulazimisha upewe fake appreciations mitandaoni. Kumbe uhalisia wa hali unayopitia iko palepale
Unaweza ukadhibiti hii hali kwa kuwa na kiasi. Huzuni /matatizo /Furaha ni sehemu ya maisha ya kila siku lakini inatakiwa kuwa na usawaziko tu.Duh inasikitisha sana .
Tatizo la matatizo ya akili mgonjwa anakuwa hajitambui Kama anaumwa .
Pole tajiri, ni sehemu ya maisha.Sawa nitaendelea kujipa moyo.
Ukiwa unakazia kitu hicho hicho ambacho kila mtu anajua jinsi ya kukifanya kwa njia zake basi wewe unayekikazia mara kwa mara kinakutesa.Endeleeni kuni-analyze hivyo hivyo ndiyo napenda.
Huwa naandika maandiko mengi tu ambayo siyo ya kufanya ngono, mjiulize kwanini huwa hamyaoni au hamuengage nayo. Labda shida siyo mwandishi ni audience na nini inapenda kukishabikia zaidi.
Baadhi ya reference ๐
Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo. Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.www.jamiiforums.com
*********
Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?
Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje? Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na...www.jamiiforums.com
**********
Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?
Feeling nostalgic ๐ฅบ Binafsi, wazazi walipenda mno muziki, nimekua nikisikiliza na kucheza muziki toka utotoni, memories ni nyingi. Franco / Le TP OK Jazz - Mario https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=_6WGbT7EumRT0wX1 Kaoma - Lambada https://youtu.be/iyLdoQGBchQ?si=97RUW6SNjSP8kUec Kanda Bongo Man...www.jamiiforums.com
***********
LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania? Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa. Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...www.jamiiforums.com
*********
Jamvi la malezi: Wazazi tunatengeneza watu wakatili wenye kuumiza wengine ukubwani
โUwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana binadamu kuzaliwa katili isipokuwa inapotokea kazaliwa na hitilafu za kibaiolojia.โ Mwisho wa...www.jamiiforums.com
***********
Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo
Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla. Kipi umejifunza kuhusu hayati Magufuli na familia yake kupitia hii interview? Binafsi kwa mara ya kwanza nimejua...www.jamiiforums.com
***********
Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?
Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku. Naomba kuuliza wanaume mliopo JF: Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo? Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...www.jamiiforums.com
**********
Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake. Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.www.jamiiforums.com
************
Kristo amefufuka, Haleluya - Heri ya Pasaka kwenu wanaJF, tuma salamu za pasaka kwa umpendaye
Heri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu. Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na...www.jamiiforums.com
**********
Mganga wa kienyeji ahukumiwa miaka 20 jela na viboko 12 kwa kosa la kufuga fisi
Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo. Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali aina ya...www.jamiiforums.com
**********
Jamvi la wanawake: Dunia ni katili sana kwa wanawake maskini
Kumbuka: Ukimpa mtu yoyote mamlaka ya kukulisha, unampa pia mamlaka ya kukulaza njaa. Leo nimesikiliza simulizi ya msichana aliyetelekezwa na mumewe akiwa na watoto 2 wadogo kwa sababu amejifungua mtoto mlemavu. Huyu dada alikua mama wa nyumbani na inabidi aanze moja akiwa hana shughuli yoyote...www.jamiiforums.com
***********
Special thread: PODCAST (kwa wapenzi wa podcast)
Wapenzi wa podcast tukutane hapa na kushare podcast tunazozisikiliza na kuzipenda. Nimejaribu kuangalia JF sijaona thread maalum ya podcast, tunaosikiliza tunajua vile unajisikia mtu akikuunganisha na podcast mpya ikakubamba. Baadhi ambazo mimi nasikiliza mara kwa mara; Tanzania & Kenya / za...www.jamiiforums.com
************
Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo
Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo. Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda. Hiyo ni...www.jamiiforums.com
************
Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?
Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana. Burkina Faso: 36% Mali: 34% Gambia: 30% Niger: 29% Nigeria: 28% Nchi zenye viwango vya juu vya kipato na elimu kama nchi za Ulaya na hata zile mashariki ya kati kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza...www.jamiiforums.com
***********
Daah hebu ngoja waje wenye ID zao watakupa jibu.Huwa najiuliza upi umuhimu wa kuanzisha uzi halafu ujitag kwa I'd tofauti kuja kutoa uzoefu ulio nao kwa kuzuga kwa I'd tofauti kuwa hauna huo uzoefu?
๐๐๐Pole tajiri, ni sehemu ya maisha.
Naamini utarudi tu tena kwenye zile level zako za kusafirisha totoz Dubai.
Unageneralize na kutengeneza assumptions sana.Ukiwa unakazia kitu hicho hicho ambacho kila mtu anajua jinsi ya kukifanya kwa njia zake basi wewe unayekikazia mara kwa mara kinakutesa.
Wewe hulka yako ni nini?Hurka zako Tu SASA nyege na Kula wapi na wapi
Nione mimi. NitakusaidiaNipe Dr. Mwingine, huyo hanivutii
๐ Kutimiza ndoto muhimu
Sijaingia JF wala kuandika nyuzi kwa zaidi ya wiki, leo nimefika tu nimekua GUMZO mpaka nafanyiwa uchambuzi wa kisaikolojia ๐๐๐๐๐.Kimsingi kutafuta relief kwa vitu kama vinavyofanywa na hii I'd sio suluhisho. Ningekuwa namjua ningempa counseling au ningempa kitabu ili aweze kuondokana /kupunguza hali anayoipitia
Amina๐๐๐
Mungu awe pamoja nami.
Afe kipa, afe beki, ushindi lazima au siyo? ๐ ๐ ๐๐ Kutimiza ndoto muhimu
Sawa nitakuja PMNione mimi. Nitakusaidia
Niko Arusha this weekend ๐คญuko mkoa gani Binti wa zamani uletewe zawadi ya rungu?
naomba nije pm tafadhaliNiko Arusha this weekend ๐คญ