Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Watajiongeza tu na wao waanze kula kwa jasho

Siku hizi wanaume tumefulia ile mbaya
 
Akili za wanawake unazijua?? Wakati mwingine ndio namna yaku-kudelete... Na kukufuta mazima... Akili zao hata hazieleweki....
 
Kwamba laki 3 kwako ni hela ndogo sanaa..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Gentleman,
sio kwangu tu bali kwa wanaofanya kazi kwa bidii, wenye malengo na moyo wa kujitolea kusaidia wengine, hiyo ni hela ndogo sana.

Nenda Kwetu Pazuri au pale The Great tabata barakuda, Jijini Dar es salaam. Halafu sogea pale mbele kidogo Segerea Mwisho, Left, Right and Center ni sehemu za mikesha inaita watu na watu wamejaa full. kuteketeza 1m ni kawaida tu, semblance laki3 gentleman?

Hata hivyo,
ni ngumu na haiwezekani kwa mtu mvivu na mchoyo 🐒
 
Laki 3 si ndogo hata kama unateketeza mil 100
Ila laki 3 si ndogo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
You have to work hard kweli kweli gentleman 🤣
SCENARIO 01
MAUZO.
Kwenye biashara yangu ili nipate faida ya laki 3 natakiwa kuuza
1. pisi 300 za bidhaa yangu ndogo
2m pisi 25 - 30 ya bidhaa yangu kubwa

SCENARIO 02
TAX
1. Mwaka huu nilikutana na msala TRA ikabidi nimlipe Muhasibu 150k ili akapambane nitoboe na nikatoboa
2. Baada ya kutoboa TRA waliniandikia kodi ya 150k ya kulipa

Baada ya maelezo haya, 300K inakuaje ndogo man??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Acheni kutoa hela kwa watu ambao si wake zetu, acheni kutongoza, acheni kuentertain wanawake . Mkitupa miaka mitano tu Kila mtoto wa kike ambaye hayuko kwenye uangalizi wa wazazi atajua cha kufanya na maisha yake na kutumia anachoingiza.

Tutatengeneza kizazi bora cha wanawake watafutaji ili tunyooshane vizuri .

Zaidi sana mapenzi watafanya wanaopendana tu, au mnaonaje?

Halaaaaaa (kwa sauti ya mwijaku) 😂
 
SCENARIO 01
MAUZO.
Kwenye biashara yangu ili nipate faida ya laki 3 natakiwa kuuza
1. pisi 300 za bidhaa yangu ndogo
2m pisi 25 - 30 ya bidhaa yangu kubwa

SCENARIO 02
TAX
1. Mwaka huu nilikutana na msala TRA ikabidi nimlipe Muhasibu 150k ili akapambane nitoboe na nikatoboa
2. Baada ya kutoboa TRA waliniandikia kodi ya 150k ya kulipa

Baada ya maelezo haya, 300K inakuaje ndogo man??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
umenifurahisha sana mkurugenzi kwa maelezo yenye logic ya maana sana tena ya kuihusisha TRA.

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe katika katika kazo na majukumu yako halali kwa maslaji mapana yako binafsi, familia na taifa kwa ujumla.

keep it up, tupo pamoja na sina swali ingine gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom