Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Noma. Ni Lijualikali uliemuota?
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
wewe ndio inatakiwa ule mvua kumi ili ukaotee jela ndoto ikamilike

Wewe ndio inatakiwa ule mvua kumi
 
Daaaaah Ndoto zote zingekua kweli kama hii yako tungepumua
 
Back
Top Bottom