DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mkuu umenishangaza sana ningependa nikufahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aote kuwa kuwa ni lini eeh?Ota basi kuhusu sizonje maana anatuhangaisha sana
Nabii my black ass!!Nabii hakubaliki kwao sishangai maneno yako mkuu
hahaaaa mpiga ramli arirh mikoba ya sheikh yahyawewe jamaa utakuwa mtu wa ndani sana
Noma. Ni Lijualikali uliemuota?Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Hahaha...una ndoto mbaya kweli aisee....Jana nimeota nyingine ila Bora nikae kimya naona wameshaanza kunifuatafuata
Chief haujaota kuhusu ajira zitatoka lini?Ni ndoto tu Mkuu hakuna cha zaidi ya ndoto niliyoota Na nilishangaa inajirudia rudia sana
Kwamba katolewa au? Hiyo litakuwa bonge la NdotoHebu ota nyingine...ila this time iwe positive.
wewe ndio inatakiwa ule mvua kumi ili ukaotee jela ndoto ikamilikeWakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Hana lolote muota ndoto..mziki wapige wao kucheza wacheze wao..anajifanya ameota ndoto wakati movie anaijua?