Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Kwahiyo we unaamini ikiingia chadema madarakani itakonga nyoyo yako? Yani kwamba ndo bei ya mafuta na mchele itashuka? Kwamba mafisadi ndo hawatokuwepo. Huyo aliekuja na kutanguliza agenda ya kutaka kulipwa milioni mia zake na madeni yake ya kujitibia🤣 kwahiyo watu wazima na sharubu zenu mnaamini kaja kwaajili yenu🤣🤣🤣🤣
 
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha.

CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.

Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Huna nafasi hiyo wewe ndani ya cdm labda umeenda kuvua dagaa tu.

Ulishafukuzwa cdm kipindi kirefu yanini kufuatilia mambo ya cdm?

Ulipofukuzwa ulisema kuwa ccm wanakuhitaji sasa yanini tena cdm?
 
Kwahiyo we unaamini ikiingia chadema madarakani itakonga nyoyo yako? Yani kwamba ndo bei ya mafuta na mchele itashuka? Kwamba mafisadi ndo hawatokuwepo. Huyo aliekuja na kutanguliza agenda ya kutaka kulipwa milioni mia zake na madeni yake ya kujitibia🤣 kwahiyo watu wazima na sharubu zenu mnaamini kaja kwaajili yenu🤣🤣🤣🤣
Tena ndio WaTz watakufa kwa sonana hadi waseme hiki nini
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ā€˜magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
Huu mnyororo wa wizi ni mgumu kukatika pasipo kusimamia katiba
Utasema CCM ni kweli wengi huenda huko kwa sababu ni chama chenye mamlaka wakijua ndo sehemu ya kupata mamlaka (cheo) / uongozi Ili wapate hela ukitaka kuamini Hilo watu wanafata hivyo vitu siku chama pinzani kishinde uone watu wanavyorudisha kadi na huhamia chama kilichoshinda

Waungwana njaa mbaya asilimia chache wenye Nia thabiti na hili taifa nao wamefunikwa nguvu na wachepushaji kikubwa tuwe na sera nzuri kusimamia katiba. Binafsi wapo baadhi ya viongozi nakubali juhudi zao ila Kuna sehemu zingine uozo mwingi
 
Kuwasha nini?Kumuwashia nani?Kama una namna ya kuweza kushusha bei ya unga wa ugali uwe chini ya 1000 na Mchele uwe chini 2000 na petrol iwe chini ya 2000 na mafuta ya kula yawe chini ya 4000 basi utakiwasha kweli.Ila kama ni kwenda kupiga kelele jukwaani bila sera ... Mungu akusaidie
 
Na supreme leader akiwa ndio kinara ,al in all CCM itaendelea kutawala nendeni tuu furahisha mkaujaze uwanja.
 
Na supreme leader akiwa ndio kinara ,al in all CCM itaendelea kutawala nendeni tuu furahisha mkaujaze uwanja.
Kwa watu wasio na akili kama wewe lazima uamini hivyo maaana bila watu kama nyinyi ccm ingeshakufa
 
Wamepanga watu wa kuja kufanya vurugu kwenye mikutano yetu ili ionekane kuwa mikutano hiyo ni chanzo cha uvunjifu wa amani ili waifungie tena na mleta uzi huu ni mmoja wa uvccm ambao wana Kadi na nguo bandia za Chadema.
Upo sahihi maana huyo mtu alishafukuzwa cdm kipindi kirefu sana
 
siipendi ccm lakini chadema hamtakuja kutawala nchi hii milele ccm itaendelea kutawala watakuja watu wazuri kama makufuli na kututawala
 
chadema ukabila na udini ndio umejaa huko sikubali kutawaliwa na chadema bora aje mkoloni
 
Back
Top Bottom