Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #81
Wewe acha zakosiipendi ccm lakini chadema hamtakuja kutawala nchi hii milele ccm itaendelea kutawala watakuja watu wazuri kama makufuli na kututawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha zakosiipendi ccm lakini chadema hamtakuja kutawala nchi hii milele ccm itaendelea kutawala watakuja watu wazuri kama makufuli na kututawala
Akili za kimasikini hizosiipendi ccm lakini chadema hamtakuja kutawala nchi hii milele ccm itaendelea kutawala watakuja watu wazuri kama makufuli na kututawala
Kufa tu maana cdm ndiyo mtawala wako ajayechadema ukabila na udini ndio umejaa huko sikubali kutawaliwa na chadema bora aje mkoloni
TulikufukuzaNilifukuzwa na baba yako
Angalia hizo hirizi ulizopewa na hayo m*#om ya mkono uliopewa Lumumba ili mje mvuruge mkutano wa Mwanza angalia tutakutafuna tumejipanga shauri yakoNaelekea Mwanza kwenda kukiwasha.
CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.
Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Nimeshangaa kuona nanyie eti mnazungumzia ufisadiii. Yaaani tumesubiri mje mtaje neno ufisadiii ili tuwafikunyulie ukanjanja wenuuUlitakaje labda boss?
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha.
CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.
Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Nilifukuzwa na baba yako
Punguza povu mzee hizi issue hazihitaji hasira Ili ufikie lengo utatukanwa tu na Ili ufikie usiwarudishie otherwise utachoka mapema😅Nilifukuzwa na baba yako
Nimeshangaa kuona nanyie eti mnazungumzia ufisadiii. Yaaani tumesubiri mje mtaje neno ufisadiii ili tuwafikunyulie ukanjanja wenuu
Umekula maharage ya wapi wewe?Mmawia nae usimsahau.
Maana nae alikuwa na hamu kweli na majukwaa.
Uliiba fedha ya chama ukafukuzwaNilifukuzwa na baba yako
Sawa ni Hali yakoNaelekea Mwanza kwenda kukiwasha.
CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.
Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Mwambie huyo uvccmUliiba fedha ya chama ukafukuzwa
Sisi hapana, ndio maaana tumesubiri mbwabwaje neno ufisadi na sisi tuwafunyulie kanjanja zetuuu. Yaani tuko nanyi kabisaaa.Kwani ni lini nyie mliwahi kuzungumzia ufisadi, maana kama ni wakati wa Magufuli alikuwa hapambani na ufisadi bali matumizi ya neno fisadi. Alipambana na ufisadi ila akawa hataki uwazi! Tunakisubiri uje ufukunyue ili ujue uliingia kwenye kipindi cha giza kwa siasa za kiki.
Huwezijua ukweli.Wewe hujawahi kuwa kada wa CDM.
Ukweli ulikwiba tukakutimua uende kwa majizi wenzako wa chama Cha MambuziHuwezijua ukweli.
UshindweNaelekea Mwanza kwenda kukiwasha.