malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ni ninGafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
STI's or STD's??Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
Dawa ni ninSTI's or STD's??
Pole mkuu, punguza kuvaa nguo nyingi kwa wakati mmoja hasa kipindi hiki cha joto. Pia kama siyo fungus inaweza ikawa imetokea kama ni mtu wa mazoezi ya viungo au running!Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
Asee pole mkuu Ebu kacheki wataalamu zaidi uchukue vipimo usijitibu kienyejGafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
Navaa boxer na jeans yakubana modelPole mkuu, punguza kuvaa nguo nyingi kwa wakati mmoja hasa kipindi hiki cha joto. Pia kama siyo fungus inaweza ikawa imetokea kama ni mtu wa mazoezi ya viungo au running!
Ungepitwa na mengi kamaMungu azidi kuniweka, maana ningepitwa na mengi sana aiseeee...🤨
Minatumia sana majiMwamba nenda hospital. Zingatia usivae nguo nyiingi, tumia tishu kujitawaza ukitokea kukata gogo sio maji.
Poa ngoja niamkie hospitalUkiweza kesho nenda hospitali private utapata dawa
Hsv ndo kitu ganiRequires medical diagnosis..
Inaweza kuwa HSV...
Kama kuna mdada mnafanya rimming au ngono za kumwagiana maji most probably...
Ila nenda hospital uwaoneshe upate matibabu...