Nimepata madonda usawa wa uvungu kuelekea njia ya haja kubwa

Nimepata madonda usawa wa uvungu kuelekea njia ya haja kubwa

Jaribu kwenda hosptali hata zahanati waangalie shida ni nini .

Ukikuta ni fangasi tumia Dawa ya kupaka inaitwa sonaderm .

Mungu akufanyie wepesi upate kupona ✊🏿.
 
Ni muhimu kuona daktari wa ngozi au daktari wa magonjwa ya njia ya haja (proctologist) kwa uchunguzi zaidi.

Daktari anaweza kufanyia vipimo kuamua sababu ya madonda hayo na kukushauri matibabu sahihi.
 
Nje ya mada kidg asee wanaume tuna ngozi ngumu saana na ya kutisha angalia ngozi ya mwamba hapo juu kwanza vinyweleo utadhani sokwe au imekakamaa hatari na wanaume wte wana vinyweleo kweny makalio hadi sio poa sasa swali linakuja wale wafiraji wanaowafira wanaume wanavutiwa na nini? Dah
😂 Maaaamae 🙌
 
Hao jamaa hawashindwi kubaka mbuzi🤣🙄Dah
 
Jitahidi kubadili boxer, na ukitoka mihangaikoni vua boxer acha viungo vipumue.

Sio unakula boxer na modo masaa 24, na hilo joto la dsm lazima maeneo ya dhakari yapate dhoruba.
 
Malembeka una magonjwa mengi au huwa unawaandikia na wengine.....! Anyway jitahidi kuchukua tahadhari kubwa juu ya afya yako,hususani mtindo wako wa maisha,namna unavyokula na kunywa.
 
Pole Mkuu, Usibanwe sana na nguo esp kama usafiri wako mkubwa ni miguu. Vaa hata kanzu badala ya suruali za kubana, utaipoteza hiyo wowowo ushindwe kwenda haja.
 
Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
mafuta ya NAZI. yanaitwa PARACHUT NUNUA yale. jikaushe vizuri baada ya kuoga paka asubuhi na jioni siku tatu nyingi
 
Back
Top Bottom