Nimepata madonda usawa wa uvungu kuelekea njia ya haja kubwa

Nimepata madonda usawa wa uvungu kuelekea njia ya haja kubwa

Kama siyo ugonjwa hiyo ni kawaida sana kutokea hasa kwa wale wanaofanya sana zoezi au kutembea kwa miguu sehemu zenye joto. Nikiwa sehemu za joto kama DSM na nikifanya mazoezi makali huwa inatokea sana.

Nenda hospitali, japo dawa ya haraka ni kutumia Dettol ya maji, unaweka kifuniko kimoja kwenye dishi lenye maji vuguvugu, kalia muda wa dakika 15. Fanya hivyo siku 7.

Usisahau kujikausha na taulo safi na kubadili boxer mara kwa mara.​
 
Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
Unaweza kupaka spirit kwa siku kama 4 asubuhi na jioni itakwisha,ila jitahidi kubadili Boxer kila unapo oga...
 
Khaaah, we sio mtu mzuri weyee parachut hili hili ajipake mwenyewe tena
usilete masihara na utoto kwenye mambo ya kweli. kwani hawezi kujipaka mwenyewe? amekuambia hana mtu wa kumpaka? watu wanaongea na ku share mambo serious wewe unaleta utoto wako hapa? mwambie basi cha kufanya ili apone
 
Stress zako peleka huko huko kwa mumeo sio hapa unaleta userious kwenye kila kitu ungekua serious hivyo kwenye maisha yako ungekua unashindana na kina Bakhera huko kumbaf
 
1. Jikaushe vizuri baada ya kuoga
2. Usivae boxer zinazobana
3. Paka FUTA Maeneo hayo (jizoeshe kupaka mafuta hayo maeneo)
 
Back
Top Bottom