Nimepata matatizo lakini hakuna Ndugu yangu aliyekuja wala kupiga Simu ya pole

Achana na mambo ya ndugu, focus kutafuta hela ujenge familia yako inayojitegemea kiuchumi.

Ndugu huwa hawana msaada wowote zaidi ha kukufariji tu.

Jifunze kujitegemea acha kuliakulia.

Usitegemee vifu kwa watu you will not be dissapointed!
 
Unadeka!? Mlalamishi?! Huridhiki?? Una attention deficit disorder, fact of life, wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika! Unapenda kupendwa kupitiliza, kuangaliwa, kunyenyekewa, na unaishi ukitamani hao ndugu wasiokujali wakujali, wakunyenyekee, wakusumbue sumbue!

Wewe ni Nani??

Fanya yako, waje wasije, ndiyo maisha, wapige simu wasipige ndiyo maisha, uende harusini usiende, maisha yataendelea, u ain't that important to them, shut up & put up with it!

Unatamani wajipendekeze ili uwanyanyase, haitokuja kutokea! Au kiu yako nini?
 
Pole Sana kutakuwa Kuna kitu nyuma ya pazia juu ya masuala ya kiimani pengine maana hayo hutokea Sana kwa binadam
 
Mbona sikuelewi, shangazi yako kafiwa na kaka yake asiwe na habari na unataka aje kukupa pole wewe kuhusu kifo cha kaka yake?

Huo ukoo wa baba yako ukoje! Jingine, inaonekana mkeo hana ukoo maana wewe umezungumzia upande wa baba yako tu!


Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe unaonekana ni bonitauni, tangu ulipomaliza darasa la saba umeishi mjini huko kwenu haujawahi kukanyaga, msiba wa baba yako utokee kijijini unataka waje mjini kukupa pole! Haiwezekani asilani.
 
Haiwezekani watu wazima waamue kujenga mtu, na kumpotezea, sasa utakuta anawataarifu Ndugu anaopatana nao, watoto wa hao kina shangazi, Baba wadogo, mama wadogo, wawaambie hao watu wazima yeye na mkewe wana matatizo, kiafrika mambo hayaendi hivyo!

Alivyo mlalamishi mkewe ana ndugu wanaokwenda kumuona, Ila haitoshi, hao wazee anataka wajishushe, wamtafute yeye!? WTF!

Nimelea watoto wa braza wangu. Baba yao mlevi, watoto wa dizaini hii hata ujichune ngozi kuwapigania hawaridhiki, wao siku zote, huwa wanahisi wananyanyasika.

Nyumba nzima mtakula maharage, yeye atataka chips, nyumba nzima mtaenda shamba, yeye ataumwa, nyumba nzima, mtaosha vyombo, yeye haoshagi vyombo, na Ada atakula! Shenzitaipu!

Na suspension akiwa ataenda Kwa babake akamtetee!
 
Katika hayo mengi ambayo hujayaandika ndio yanayo wafanya wakupotezee
 
Centre of attraction.

Usitake mambo mazuri yakujie kwa vile unadhani unastahili....

Tenda matendo mema kwa kila mtu bila kujali kama ni ndugu au mtu wa kando.

Tenda kwa kufurahia kufanya hivo na wala usichoke...

Tenda kwa watu wengi kadiri uwezavyo....

Usidai kutendewa hivo kutoka kwa mtu yeyote....

Eventually....utarejeshewa wema hata mara elfu kwa elfu....

Kuhusu Mkeo....

Msaidie kupeleka taswira njema kwa watu hata kama hana...

Ukiona mambo hayakutokei tatizo siyo watu....NI WEWE.....


CENTER OF ATTRACTION HAS TO BE YOU...

BE IT GOOD OR BAD....

IT IS YOU.

TAKE care.
 
W cancel na endelea na maisha yako
 
Inaelekea mkuu kuna kitu kwako ndugu zako hawakubaliani nacho.

Jitazame kwa makini wewe na mkeo ni lazima kuna kitu hakiko sawa.

Sote ni binadamu na tunakosea.

Heri kukisahihisha na kupatana na ndugu.
 
Hujasema uliwanya jambo gani lililowafanya wakutengeee ilaaa

ka unawezaaa sameheeeeee sameheee sameheee narudia tenaaa just forgive forgive forgive

Usibebe mengi moyoniii, upatapo muda waambiee yote ulonayooo moyoniii

SAMEHEEE huenda milango ya mafanikio yako imefungwa kwa kuendeleza chukiii
 
ndugu yako ni mdogo wako wa damu au kaka yako hao wengine wengi ni wanafiki
 
Fata huu ushauri hutojuta..
 
Watu wasikutishe, usifanye majaribio kwenye maisha yako hata kidogo, umeshajua kwamba hutakiwi kwanini uendelee kuwawaza, funga vioo fanya maisha yako.

Unayo dhamani kama wao, anakutafuta mtafute huyo huyo, Hakuna haja ya kuishi duniani huku umewapigia magoti baadhi ya watu. Furahi kwa sababu umewatambua mapema kabla hawajakuja kukungusha siku za usoni.

Maishani siyo kila mtu wa kwenda nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endapo nyumba nzima mnakula chips yeye mnampa kiporo? Shamba anaenda yeye nyinyi mnabaki?

Usiku unamtoa nje saa 8 usiku kwamba kumekucha ila nyinyi mnaenda kujifunika mablanketi? Takataka kama wewe ndo huwa vinara wa kutesa watoto wa watu alafu wakisema mnaanza kuleta upumbafu.

Endapo huwezi kuishi na huyo mtoto kama wako mfukuze shenzi zako
 
Matatizo yako ni yako siyo ya ndugu zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…