Nimepata matatizo lakini hakuna Ndugu yangu aliyekuja wala kupiga Simu ya pole

Pambana na familia yako.

Mama mdogo akikupigia tena mchane live...mwambie anayetaka kumuona mtoto aje nyumbani.

Mchango wa harusi usitoe.
 
Kisu kimegusa mfupa!
Takataka ngumu mwenyewe!
Shenzi mwenyewe tena shenzi zako uzipokee ka kifurushi!

Kwangu nakula Kiporo cha kande au ubwabwa maharage asubuhi na chai hutaki, kwendraa! Mkae kwenu! Unang'ang'aniaje kwa mtu, ka unaona unateseka??

Ndiyo maana nimemwambia mke wangu. Watoto wa ndugu nyumbani kwetu marufuku! Wasaidiwe ada huko huko makwao. Kwangu marufuku!
Utovu wa nidhamu ndicho mnachokiweza!
Much know! Na story za kutunga!
 
Akili zako zipo kwenye kichuguu ndio maana unahisi wote wasiokubaliana nawewe wameishi maisha ya kwa ndugu na umedhihirisha ni jinsi gani unavyowachukulia.

Umeona sasa ulivyo hayawani usiyejielewa, ushaambiwa endapo wewe unakula chips basi nyumba nzima ile chips, ila kama nyinyi mnakula chips alafu mtoto mnampa kiporo mrudisheni kwao.AKufukuzaye hakwambii toka.

Kwa roho hiyo uliyonayo ni mara billion mia wasije kwako, alafu kwanini upo biased sana? As if aliyeleta mada kaleta kitu ambacho hakipo duniani, kwanini unakataa kuwa kuna ndugu wanates watoto wanaoishi nao? Wewe unatesa watoto wa ndugu zako? Kisu kimegusa mfupa?

Yaani badala ya mkeo kuwa mwenye roho mbaya na ya chuki iliyojaa kisirani unakutana na dume lenye pumbu mbili tahira lisilojielewa kama wewe, huyo mkeo anakustiri tu we boya akipata mwanaume aliyekamilika anakubwaga sekunde mbili mbele mshenzi wewe
 
Endelea kukalia kochi la shemeji na remote,
Sina kawaida ya kurumbana na watoto wa kufikia!

Narudia watoto wa ndugu wabakie makwao kama ni msaada wa Ada itatumwa huko. Wale na wazazi wao, washinde njaa wako na wazazi wao. Wajitungie uongo na chuki dhidi ya wazazi wao kwangu marufuku!

Bakia na akili zako zilizo kwenye mlima, achana na zangu zilizo kwenye kichuguu!
Mshenzi mwenyewe unayetaka kutunzwa kama malkia kwenye nyumba ya ndugu!
 
Mkuu nikuambie ukweli wewe unaonekana una upendo sana kwa ndugu zako.wengi wenye upendo sana ndoo wanaumizwaga nda ndugu.lakini ukishaanza kuonyesha kiburi wa kwanza kulalamika ishi nao kwa maarifa hao siyo watu kabisa hawana utu.ishi utakavyo wengine delete ipo siku utanishukulu.njoo pm nikuambia kitu watu dizani hiyo
 
Mkuu wewe ndio umenielewa sasa nilicho kua nakizungumzia mpaka hapo, Kiukweli nawapenda sana nasio kisa wengine wanapesa ila tu napenda kuwa nao karibu, ila kwa walio nionesha acha nikae mbali nao. Japo nimeajiriwa najimudu kwa kila kitu na siwategemei kwa lolote ila nilikuwa nawapenda sana aisee.
 
Mimi sipendi ujinga kabisa, ndugu gani mpaka uwavute kwa kamba.

Jikalie kimya mzee, watakuja kukuua kwa mawazo. Mwenye nia ya kukufanyia ubaya, hawezi kuona wema wako, utamfanyia mazuri lakini ataendeleza ubaya tu.
 
Usilipe ubaya kwa ubaya wewe tenda wema kaka mwisho wa ubaya no aibu.
 
Unalalama mnooo! Kuwa mwanaume ufanye yakupasayo, dunia haina huruma. Ikikufanya inakufanya kweli mpaka unauliza hiki nini.
 
Ooooh pole inaonekana ni chuki imepandwa tangu ukiwa innocent kabisa, sasa cha kukushauri mkuu.

Ishi maisha yako wasahau kabisa na uwaoneshe unaweza kuishi bila wao ila kamwe usibebe chuki wakipata shida wasaidie bila kuwa karibu yao hii ndo tiba itayowafanya wajitafakari na kwa kiasi fulani itawasaidia na wao kujifunza kitu.
 
Nimesoma msg nyingi sana za chuki,
Mtoa posti nakushauri nikiwa kama ni mkristu RC,
kama na wewe ni mkristu tena RC kama mimi nakushauiri kwamba
katika kipindi hiki cha Kwaresma ni kipindi cha Kusamehe, Kujitolea na Kusali.
Ukifanya hayo yote utakuwa na Amani sana katika Roho na Maisha yako.
Nakutakia kwaresma njema.
Kama wewe sio muumini wa dini hiyo , potezea ushauri wangu ni hayo tu
 
shoboka na anayekushobokea mkuu. mpende anayekupenda usijipendekeze sana. katika vitu huwa sitaki mlaumu mtu ni mambo ambayo yanasukumwa na moyo wa mtu.
 
kuna mwanasaikolojia nilimsikia akisema, moja ya kosa kubwa wanadamu tunalolifanya bila kujua ni kutaka kila ndugu awe mwanafamilia wako. Ooh [emoji29] Don't stress up bro know your family narrow your circle live your life bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukithamini ndugu,,, utavuna magugu - Roma mkatoliki

Mkuu endelea tu na maisha,, Mwanaume kitu pekee cha kutegemea ni Mungu,,,asipokusaidia huyo ndio basi tena....so akileta watu wakukusaidia nenda nao hao hao,, usihangaike na hao wasiojali..
 
Una matatizo wewe jaribu kujichunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…