Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana