Hapa mwambie muwekeze kwenye viwanda vya kusindika nyama na kuuza nje.jengeni kiwanda Cha kuchinja mifugo na kuuza ulaya.
1- Jenga chuo kikuu chenye hadhi sawa na Oxford,havard, Cambridge.
2-fungueni kiwanda Cha kutengeneza vyombo vya ndani.
3-kiwanda Cha sementi.
4-kiwanda Cha ku assemble magari ya kampuni kadhaa zinazopendwa hapa Tanzania.
5-wekeza kwenye apartments/real estate ambazo mtaziunganisha na mtandao wa Anb
6-usafirishaji wa mizigo so hapa utahitaji semi Mia kidogo ama ya abiria mlete mabasi ya kisasa yenye choo humo humo na chakula kinakuwemo hakuna haja ya watu kushuka madereva wawili wanapeana shift.
7-kata kibali muanze uchimbaji wa madini Mana mtaweza kua afford quality equipments.
8-education, energy, housing, healthy, communication,food (agriculture)industry like kuipa ubora nafaka zetu for exports.
9-muombe franchise na kiwanda like Cha simu zinazopendwa hapa nchini.
10- kiwanda Cha Bajaj na bodaboda Mana Kuna demand kubwa kwa developing and poor countries.
11- kiwanda Cha mavazi sema hapa inabidi ucheki availability of raw resources.
Ngoja niishie hapa Mana kichwa hakipendi Mambo muhimu sema kwenye Mambo ya kimbususu kina too much active adi unajishangaa kinavyochakata data na kutoa information.
Kila la heri Kama hili suala Ni la ukweli