Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Sio wewe nipe hiyo miradi. Nipo makini sana boss. Hao wanigeria Mimi nawajuaSio MNAIJERIA huyo muwekezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wewe nipe hiyo miradi. Nipo makini sana boss. Hao wanigeria Mimi nawajuaSio MNAIJERIA huyo muwekezaji?
UambHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Ahsanteni jamani,
Acha haya mawazo boss. Hao wote mimi nawajua.Sio wale Wafadhili wa kwenye email ..soon kuna mtu ana pigwa na kitu kizito
Yes ni dolla millioni 50. Pia kuna wa dolla millioni 100.Amekuambia dola milioni 50??
Uamb
😀😀😀Mi naona ungeanzisha mradi wa TRAB na TRAT
Lithium ipo mkoa gani hapa bongo?Njoo mchimbe Lithium,,ni bonge la project
Mimi niliandika miradi yangu mitatu ila haizidi billioni 10. Mmoja ni wa education na mwingine ni wa mafuta na gesi. Ila amesema hawafinance miradi midogo kama hiyo. Ndio maana nimekuja hapa.Huwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.
Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.
In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.
Kama upo serious njoo.
We si ni mtaalam wa gas wekeza huko there's a lot of returnLithium ipo mkoa gani hapa bongo?
Hapa ndio nataka sasa.Anything can depends how big or how small you want to start
Sasa hawa wanataka infrastructure boss. Yaani hapo ndio naumiza kichwa.Kwa mawazo ya haraka labda kuingiza Mafuta (fuel) kutoka nje hapo unaweza kulinganisha kidogo hizo hela hata ulete meli moja kila mwezi
Ntanunua mimi [emoji1]
Upimaji wa nini boss
Hapa ndio nilistuck boss, nilishaandika miradi yangu mitatu miwili ya upande wa mafuta na gesi na mmoja wa education. Hapo ndio akili yangu ililalia. Na imeonekana ni miradi midogo sana.Hapa unachemsha kidogo;
Moja ungespecify sector na area of concentration au experience...
1. Inawezakuwa real estate development project... housing, hotels n.k
2. Manufacturing plant project
3. Transportation.... inaweza kuwa usafiri wa anga, maji n.k
4. Inaweza kuwa distribution and logistics fleet
5. Setting a specialized medical facility
N.k
Najua unachowaza. Ila hayo yote nilishapitia zamani boss. Nipo makini wala usijali.😭😭😭😭😭😭
Chochote / Wazo ulilonalo (umelifanyia due diligence) unaweza ukarudi kwenye vitabu na kwenye mahesabu ukaanza kutafuta better requirements kwahio vitabu vika-balance....Hapa ndio nataka sasa.
Hapa mwambie muwekeze kwenye viwanda vya kusindika nyama na kuuza nje.jengeni kiwanda Cha kuchinja mifugo na kuuza ulaya.Yes ni dolla millioni 50. Pia kuna wa dolla millioni 100.
Mimi project zangu hazifikishi hiyo pesa. Zipo jumla billioni 5