Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Huwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.

Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.

In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.

Kama upo serious njoo.
Mimi niliandika miradi yangu mitatu ila haizidi billioni 10. Mmoja ni wa education na mwingine ni wa mafuta na gesi. Ila amesema hawafinance miradi midogo kama hiyo. Ndio maana nimekuja hapa.
 
Hapa unachemsha kidogo;

Moja ungespecify sector na area of concentration au experience...

1. Inawezakuwa real estate development project... housing, hotels n.k


2. Manufacturing plant project

3. Transportation.... inaweza kuwa usafiri wa anga, maji n.k

4. Inaweza kuwa distribution and logistics fleet

5. Setting a specialized medical facility

N.k
Hapa ndio nilistuck boss, nilishaandika miradi yangu mitatu miwili ya upande wa mafuta na gesi na mmoja wa education. Hapo ndio akili yangu ililalia. Na imeonekana ni miradi midogo sana.
 
Hapa ndio nataka sasa.
Chochote / Wazo ulilonalo (umelifanyia due diligence) unaweza ukarudi kwenye vitabu na kwenye mahesabu ukaanza kutafuta better requirements kwahio vitabu vika-balance....

Sababu binafsi nadhani ujanja ni kufanya kitu at the lowest price possible wakati mwingine lazima anunue vitu fulani fulani wewe unaweza ukavipata bure au kulipwa kabisa (someones wastes is another one's resource) Hence bora mtu aseme isizidi kiasi fulani na sio ifikie kiasi fulani
 
Yes ni dolla millioni 50. Pia kuna wa dolla millioni 100.
Mimi project zangu hazifikishi hiyo pesa. Zipo jumla billioni 5
Hapa mwambie muwekeze kwenye viwanda vya kusindika nyama na kuuza nje.jengeni kiwanda Cha kuchinja mifugo na kuuza ulaya.
1- Jenga chuo kikuu chenye hadhi sawa na Oxford,havard, Cambridge.
2-fungueni kiwanda Cha kutengeneza vyombo vya ndani.
3-kiwanda Cha sementi.
4-kiwanda Cha ku assemble magari ya kampuni kadhaa zinazopendwa hapa Tanzania.
5-wekeza kwenye apartments/real estate ambazo mtaziunganisha na mtandao wa Anb
6-usafirishaji wa mizigo so hapa utahitaji semi Mia kidogo ama ya abiria mlete mabasi ya kisasa yenye choo humo humo na chakula kinakuwemo hakuna haja ya watu kushuka madereva wawili wanapeana shift.
7-kata kibali muanze uchimbaji wa madini Mana mtaweza kua afford quality equipments.
8-education, energy, housing, healthy, communication,food (agriculture)industry like kuipa ubora nafaka zetu for exports.
9-muombe franchise na kiwanda like Cha simu zinazopendwa hapa nchini.
10- kiwanda Cha Bajaj na bodaboda Mana Kuna demand kubwa kwa developing and poor countries.
11- kiwanda Cha mavazi sema hapa inabidi ucheki availability of raw resources.
Ngoja niishie hapa Mana kichwa hakipendi Mambo muhimu sema kwenye Mambo ya kimbususu kina too much active adi unajishangaa kinavyochakata data na kutoa information.


Kila la heri Kama hili suala Ni la ukweli
 
Back
Top Bottom