Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Upimaji ni biashara imevamiwa na watu wa nao tafuta pesa za kujikimu tu na za kunywea K Vant.
Nilimpa project tatu zenye hela inayoishia billioni 5 boss.Huyo mfadhili ni mjinga kiasi gani hadi aahidi hela hizo bila kujua anazipeleka kwenye mradi gani au bila business plan.
Mwambie kwanza akupe hizo 5 uanze utekelezaji.Nilimpa project tatu zenye hela inayoishia billioni 5 boss.
Nina mawazo niliyompatia boss. Nikatuma badi proposal zote tatu. Ila project hazifikishi hata billioni 10Yani pledge imekuja bila hata wazo la mradi
😂😂
Na bila aibu unaandika jambo kama hilo kwa uma
Naijua boss, ni hela kubwa sana hiyoHivi unaijua bilioni 116?