Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Hizo pesa unaanzisha kiwanda cha madawa bila shida yeyote
Au kiwanda cha vifaa tiba kama vile gloves, syringes, cannula

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Halafu hii business haina ushindani kabisa hapa bongo ila sijajua ni kwa nini matajiri wakubwa kama wakina Mo,Manji,Rostam wanaikwepa hii lazima kuna shida mahali kwenye masharti na vigezo ya serikali.
 
Ahsante sana kwa kunifumbua akili. Ni ya ukweli boss.
 
Hapo namba 1 & 5 hazijawahi kumfelisha mtu.
Namba 2 pia ni nzuri ila returns yake inachukua muda mrefu kwenye marketing ya products hadi ikubalike na wateja.
 
Ahsante sana boss
 
Halafu hii business haina ushindani kabisa hapa bongo ila sijajua ni kwa nini matajiri wakubwa kama wakina Mo,Manji,Rostam wanaikwepa hii lazima kuna shida mahali kwenye masharti na vigezo ya serikali.
Ramadhani Madabida baada ya kukosana na wana Ccm wenzake aliambiwa anatengeneza ARV fake kwenye kiwanda chake na akafikishwa mahakamani.

Huko Msd kwenyewe tu ni hekaheka tupu.
 
Ideas zote ziko hapa.
Kwa mfano kwenye kiwanda cha kuassemble magari hizo B zitaisha tu zitake zisitake.
 
Mkuu Meneja Wa Makampuni

Nina project zinamaliza hizo hela na bado zikadai

issue tunawezaje kublend tukafanya pamoja??

ninajua hizo project zinataka nini siwezi kabidhi blueprint kwa mwingine then akaenda kuliangusha wazo langu itaniuma zaidi
 
Mleta mada anataka mumpe mawazo(ideas) ambayo katika hali ya kawaida hamuwezi kuyatoa.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…