Nimepata mgeni yuko rafu sana

gentleman,
Msitiri ndugu yako na mapungufungu yake.
mpige short course training ya ustaarabu na Mungu atakubariki.
 
Hivi kwanini Ukweli huwa ni jambo gumu sana?!

Mfano hapa wewe ungemweleza Ukweli kulingana na makubaliano yenu nini kingeharibika au kupungua kwako? Sana sana wewe ungekua mtu bora zaidi.
Tangu siku hiyo mkuu nimejifunza sana. Siku hizi sicheki na Mtanzania. Sasa hivi nimenyooka sipindishi mambo ingawa wananiona nina roho mbaya.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa sio mstarabu kabisa yani unkaribishwa kwa mtu unabeba na plus one 🤣
 
Mwelekeze kwa upole hayo ni mambo madogo yanafundishika.......

Wengine tumetoka Nyumba chafu sana kwa tabia na usafi.

Mazingira magumu mambo ya Jagi na Ndizi wakati wa kula ni nadra au hakuna kabisa.
 
Mimi nilitoka familia masikini na Mimi nilisaidiwa na Ndugu na marafiki ila sikuwa na Akili kama matope za Hao X and Y Friends.

😆😆😆
 
Ila hiyo namba mbili ni unamuonea tu jamani??? Yani unataka kumpa masharti ya namna ya kuminya dawa?
kuminya dawa kuna ustaarabu wake pia, sisi tulifunzwa na Mama yetu toka udogoni kabisa..!!
Mfano mzuri, kwetu nyumbani tukiwasha jiko la mkaa huwa hatushiki mkaa na mikono toka utotoni tena Mama ndiye alitukataza..!
Huwa tuna gloves flani ngumu tunavaa ndiyo unaweka mkaa, Mimi till date kugusa mkaa ugenini nababaika sana..!! Niliwahi semwa ugenini mpaka nikakosa raha..!

Hivyo mara nyingi ni malezi tu..!!
 

Mpaka hapo una chaguzi 2 tu.

Mfukuze au mwelimishe

Tatizo lipo kwako umezoea kulalamika badala ya kufanya maamuzi
 

Mpaka hapo una chaguzi 2 tu.

Mfukuze au mwelimishe

Tatizo lipo kwako umezoea kulalamika badala ya kufanya maamuzi
 
UJINGA,UMASKINI NA MARADHI NI NDUGU WA BABA NA MAMA MMOJA 😊😊😊
 
Wew ulibahatika kufunzwa na mama yako namna ya kuminya dawa, so utamlaumu vp yeye ambae hakufunzwa juu ya huo ustaarabu.
 
Hana malezi huyo
Hivo vitu vinafundishwa utotoni
Wanangu tu wadogo wanatambua Hilo,itakuwa lijitu lizima liloanza kuota mvi.


Kwamba malezi ya mtanzania wa visiwa vya Ukara huko Ukerewe yawe sawa na ya mtanzania wa Fukayosi ya Bagamoyo?

Umezingatia ya kwamba sisi ni binaadam? kwamba binaadam ni kiumbe cha kipekee sana na kila kimoja kinabeba tabia za kipekee kabisa kutokana na muundo wake?


Tusiwe na aibu ya kuwaeleza wageni wetu taratibu/sheria katika majumba yetu, ndio uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…