Nimepata mgeni yuko rafu sana

...Mwenye Matatizo Nini Wewe ! Jambo linakusumbua Lakini Kulikemea Huwezi, Inakuja Kulia Lia JF ! Acha Unafiki. Kama hupendi Wageni Kwako, SEMA TU, Sio utafute Visababu sababu !! [emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Mmasai nini?😀😀nilikaaga ghetto Moja na mmasai WA monduli jamaa miyeyusho ni WA kiume ila sio mstaarabu ukimwelekeza kitu anamind,kwanza alikuwa na perfume zimeandikwa women Kwa ufupi anatumia perfume za kike,hataki kupika Wala kuosha vyombo,Kuna makabila yenye mfumo dume aswa sio wakukaa nao ghetto Moja kwenye kujitafuta,wanawezana wao wenyewe
 
Nomaaaaaa
 
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
Tabia zote hapo kwa mgeni wako ni malezi aliyoyapata toka akiwa mdogo sio rahisi kubadilika hasa hasa kama ni mtu mzima tayari (miaka 18+) ila kama huwa unapokea wageni mara kwa mara upande wa dawa ya meno uwe unanunua kama hii hapa chini.

 
Mkuu kwani dawa ya meno ukiminya popote kuna shida gani?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine tukubali tu

Kuna watu wamekulia mazingira ambayo hakuna utaratibu wa kurudisha kitu chochote ulichotumia mahali pake.

Yaani maisha yao hayana mpangilio.

Usimlaumu, we akienda kinyume na utaratibu wako wewe rekebisha.

Malezi hayo
Mimi kuna jamaa tuliishi chumba kimoja, nilimshangaa ana tumia kikombe tunacho nywea chai kunawia uso na kupigia maswaki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mpe msaada elimu ya usafi utajua umemsaidia na umeisaidia jamii
 
Sasa ukimsema huku unadhani utakuwa umemsaidia?,Mwambie hayo mapungufu yake ili abadilike.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 


Sio inakua Kama Unafiki ila ni Unafiki in black n’ white.
 
Ukiishi chumba kimoja na jamii ya kifugaji ni sawa unaishi na Mbuzi au Bata ndani, wao hawajui kama chumba au Nyumba inafanyiwa usafi au chuka na vyombo vinaoshwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna msemo wahenga hutumia "Asiyefunzwa na mmaye hufunzwa na ulimwengu". Kama unammudu mchane tu mapemabusibaki na vitu moyoni
 
Ukimchekea atakuja kuny@ m@vi makavu/uh@ro hapo sebuleni kwako.
Kuna watu ni zero brain hawana aibu kujua hapa ni ugenini au ghetto kwake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyuzi za hivi zimekuwa nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…