Nimepata mgeni yuko rafu sana

Nimepata mgeni yuko rafu sana

1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
...Mwenye Matatizo Nini Wewe ! Jambo linakusumbua Lakini Kulikemea Huwezi, Inakuja Kulia Lia JF ! Acha Unafiki. Kama hupendi Wageni Kwako, SEMA TU, Sio utafute Visababu sababu !! [emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
Mmasai nini?😀😀nilikaaga ghetto Moja na mmasai WA monduli jamaa miyeyusho ni WA kiume ila sio mstaarabu ukimwelekeza kitu anamind,kwanza alikuwa na perfume zimeandikwa women Kwa ufupi anatumia perfume za kike,hataki kupika Wala kuosha vyombo,Kuna makabila yenye mfumo dume aswa sio wakukaa nao ghetto Moja kwenye kujitafuta,wanawezana wao wenyewe
 
Nadhani wewe ndio umeamua kukaza fuvu mkuu. Kwa issue ya ustaarabu na adabu, kama ungekuwa unazungumzia kuwafundisha watoto au watu ambayo ni sehemu ya maisha Yako hapo nyumbani, Wala nisingepingana na wewe.

Ninachozungumzia Mimi, huyo ni mgeni. Pengine huo ustaarabu ulionao wewe, yeye hana. Ni mtu wa kupita tu hapo kwako, kuna ugumu Gani kumvumilia kwa jambo dogo kama ilo? Maana Iko wazi huwezi kumwambia.
Nomaaaaaa
 
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
Tabia zote hapo kwa mgeni wako ni malezi aliyoyapata toka akiwa mdogo sio rahisi kubadilika hasa hasa kama ni mtu mzima tayari (miaka 18+) ila kama huwa unapokea wageni mara kwa mara upande wa dawa ya meno uwe unanunua kama hii hapa chini.

1703588832328.jpeg
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
Mkuu kwani dawa ya meno ukiminya popote kuna shida gani?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine tukubali tu

Kuna watu wamekulia mazingira ambayo hakuna utaratibu wa kurudisha kitu chochote ulichotumia mahali pake.

Yaani maisha yao hayana mpangilio.

Usimlaumu, we akienda kinyume na utaratibu wako wewe rekebisha.

Malezi hayo
Mimi kuna jamaa tuliishi chumba kimoja, nilimshangaa ana tumia kikombe tunacho nywea chai kunawia uso na kupigia maswaki.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
Mpe msaada elimu ya usafi utajua umemsaidia na umeisaidia jamii
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
Sasa ukimsema huku unadhani utakuwa umemsaidia?,Mwambie hayo mapungufu yake ili abadilike.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Exactly..halaf anapenda kulalamikia pembeni kitu ambacho inakua kama unafiki. Be straight..mpe utu ukwel. Hapo si kwako. Mtu aishi kwa taratibu zako unazotaka..atazijuaje?? Mpe maelezo.
Baba mwenye nyumba unakua kama kijino pembe kulalamika lalamikia pemben kama sio mwanaume kamili bwama??!!

Sio inakua Kama Unafiki ila ni Unafiki in black n’ white.
 
Mmasai nini?[emoji3][emoji3]nilikaaga ghetto Moja na mmasai WA monduli jamaa miyeyusho ni WA kiume ila sio mstaarabu ukimwelekeza kitu anamind,kwanza alikuwa na perfume zimeandikwa women Kwa ufupi anatumia perfume za kike,hataki kupika Wala kuosha vyombo,Kuna makabila yenye mfumo dume aswa sio wakukaa nao ghetto Moja kwenye kujitafuta,wanawezana wao wenyewe
Ukiishi chumba kimoja na jamii ya kifugaji ni sawa unaishi na Mbuzi au Bata ndani, wao hawajui kama chumba au Nyumba inafanyiwa usafi au chuka na vyombo vinaoshwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo.

4. Inshort things are mess
Kuna msemo wahenga hutumia "Asiyefunzwa na mmaye hufunzwa na ulimwengu". Kama unammudu mchane tu mapemabusibaki na vitu moyoni
 
Ukimchekea atakuja kuny@ m@vi makavu/uh@ro hapo sebuleni kwako.
Kuna watu ni zero brain hawana aibu kujua hapa ni ugenini au ghetto kwake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyuzi za hivi zimekuwa nyingi.
 
Back
Top Bottom