Nimepata mgeni yuko rafu sana

Ukimwambia anaenda kijijini kukutangaza kwa ubaya.

Umasikini ni laana!
Kama bado unapenda kusifiwa na unaogopa kusemwa vibaya basi una safari ndefu ya kufikia kwenye amani ya moyo wako.
 
Wageni wengine miyeyusho sana. Ila hapo kwenye kuminya dawa. Watu wengi wanaosisitiza kuminya dawa ya meno kuanzia chini huwa ni wagonjwa wa akili. Wengi hawafahamu hili, unaweza kudhani ni wastaarabu kumbe ni wagonjwa wa akili.
 
Bora tunaoishi hivi, tunajiepusha na mengi sana.
 
Msukuma huyo mgeni siku moja nipo usukumani nilikuwa na geto langu sasa kuna jamaa nilikuwa nao kama washikaji fulani eneo nililokuwa lilikuwa linachangamoto ya maji jamaa wkaniletea maji vile wanafika geto walikuwa wawili wakachukua mito ya sofa langu wakaanza kujifutia majasho yao comfortably da nikawachana ukweli lakini ndio vile niakaacha na urafiki nawo mpaka leo
 
Fukuza faster!!
 
ivi hamna dawa ya memo nzuri zaidi ya colgate?
 
Wageni wengine miyeyusho sana. Ila hapo kwenye kuminya dawa. Watu wengi wanaosisitiza kuminya dawa ya meno kuanzia chini huwa ni wagonjwa wa akili. Wengi hawafahamu hili, unaweza kudhani ni wastaarabu kumbe ni wagonjwa wa akili.
Hadi dawa ya mswaki Ina masharti ya kuminya?😀😀si inaminywa popote ilimradi inawezekana kuitoa/ kuimaliza yote,masharti Hadi kwenye vitu vidogo vidogo ni ukichaa na umaskini
 
Wewe ni MTU unayependa usafi Wa hali ya juu , hivyo hakikisha unamwekea mgeni mazingira yake yatakayombadilisha taratibu


Mabadiliko yake yanaweza kuchukua muda mrefu hasa ikiwa huyo mgeni ni Wa kudumu. Hapo.
 
Mfundishe usiogope au muelekeze….
Kuna utofauti wa kunyanyasa na kufundisha au kuelekeza kwa hiyo hata yeye atakuelewa na atabadilika!
 
Table manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.

Chukueni hiyo.
Na kwenye kula hakikisha unatafuta taratibu ili kutofautisha mtu anayekula na anayefua…..
 
Ni kutoka kanda ya ziwa? Vumilia tu mkuu.
 
Ila kuishi na watu ni kazi sana kila mtu aishi kwake tu,hata kwenda kwa watu ni kazi mno 🫣🫣🫣
 
Kila kitu ni simple sana kusolve kwenye maisha unajua. Kila anachofanya wewe fanya kinyume chake ndyo kuelewa huko
 
Wakati mwingine tukubali tu

Kuna watu wamekulia mazingira ambayo hakuna utaratibu wa kurudisha kitu chochote ulichotumia mahali pake.

Yaani maisha yao hayana mpangilio.

Usimlaumu, we akienda kinyume na utaratibu wako wewe rekebisha.

Malezi hayo
Kweli mkuu ukizingatia n mgeni hana muda atarejea alikotoka
 
Hapo ataenda kusema unaringa
 
Makubwa ungewaacha ungekuta wapo wanne wameshaoa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…