Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Hiyo pesa umeipata Kwa njia Gani!!? Ya mkopo au ni mishe zingine out na mkopo!!?

Pili ulishawahi fikiria changamoto utakazokutana nazo ukiwa umeacha kazi endapo unarun hiyo biashara!!? Ipi itakayokuwa financial assistance katika biashara Yako!!? Je siwezi fanya biashara katika hii 30M bila kuacha kazi!!? Kama ukiona unaweza kukujibu hayo maswali acha kazi ila kama huwezi kujijibu endelea na kazi mkuu maana tuko wengi tunaitafuta kazi huku mtaani.
 
Wakuu habari.

Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri

Nawasilisha
Hongera Ndugu ila hujasema kama huo ni mkopo na je kama ni mkopo una mkopo mwingine wowote, Je kama ni mkopo Kato la mkopo huo ni kiasi Gani Kwa mwezi Kwa mikopo yote uliyonayo? Je una vyanzo vingine vyovyote vya kipato zaidi ya Ajira Yako na je kipato Hicho ukilinganisha na mshahara wako kikoje.

Je una uzoefu kwenye biashara au una taaluma inayohusiana na maswala ya biashara. Kama maswali ni mengi zaidi ya majibu usiache kazi ila tafiti aina ya uwekezaji ambazo ni rafiki, fikiria hata bond zile za benki kuu ambazo ni stress free.
 
Chukua sehemu ndogo ya pesa uanzishe biashara ndogo unayoipenda na uweke mtu mwaminifu. Ukiwa kwenye ajira jitahidi kuitupia macho inavyoenda. Ukiona mambo ni mazuri anza kutegatega ili muda mwingi uwe kazini kwako. Fanya tathmini ya kina kuhusu kipato kwa siku ili ulinganishe na kipato chako kwa siku katika ajira. Ukiona cha kujiajiri ni kikubwa, sepa na usimamie mwenyewe kazi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Ndugu,ila hujasema kama huo ni mkopo na je kama ni mkopo unamkopo mwingine wowote,je kama ni mkopo Kato la mkopo huo ni kiasi Gani Kwa mwezi Kwa mikopo yote uliyonayo?je una vyanzo vingine vyovyote vya kipato zaidi ya Ajira Yako,na je kipato Hicho ukilinganisha na mshahara wako kikoje.Je una uzoefu kwenye biashara au unataaluma inayohusiana na maswala ya biashara .Kama maswali ni mengi zaidi ya majibu usiache kazi,ila tafiti aina ya uwekezaji ambazo ni rafiki,fikiria hata bond zile za benki kuu ambazo ni stress free.
Sio

Sio mkopo
 
Back
Top Bottom