FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Hyo hela weka UTT AMIS alafu kaa hata miaka 10 hv utakuwa na zaid ya mil 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Kazi ninayo Ila nimechoka
M30?
Nishaeleza, nimeuza mojawapo ya asset yangu iliyokuwa inanipa faida kidogoUmeipata wapi? Tuanzie hapo kwanza
Biashara gani, niambie kwenye pm yanguUnahitaji M10 tu Ndani Ya Miezi Sita umepata 50M,
Kama interested njoo PM
Sio kila biashara huwekwa hadaharani, ila ni biashara halali kabisa
Fix ni biashara kichaa..wao wanaoenda kukopesha hiyo pesa kwa riba kubwa..yeye anabaki kupokea laki 9 kwa mwezi..haijakaa sawa.Upo mkoa gani mkuu, kama upo dar au Arusha au mwanzo nunua gari toyota vits au passo ziwe 3 kila moja milioni 9 Hadi 10. Au magari 2 na Bajaj 1. gari moja Kwa siku ni sh 25,000 Kila wiki ni Tsh 150,000 na Bajaj Kwa siku Tsh 20,000 na Kwa wiki ni Tsh 120,000. Hakikisha unajisajili kwenye taksi mtandao hasa Bolt na uber, usikuBali zifanye kazi kawaida. Kwa Hiyo kama ni magari 3 ni Tsh 1,800,000 Kila mwez. Au kazitupie crdb mzigo flex wao Kila milioni 10 wanakupa Laki 9 Kwa mwaka hivyo Kwa milioni 30 watakupa milioni 2.7 Kwa mwaka na uamuzi ni wako unaweza kuchukua Mara moja Kwa mwaka au Mara mbili au mara 4 au hata Kila mwez kama mshahara Tsh Laki 2 na Elf 27. Uzuri biashara ya taksi mtandao usomamizi ni mdogo na haitumii sana muda
Ni dola ya Zimbabwe?Wakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Hela kubwa sana hiyo,Usiache kazi kwa pesa hiyo. 30M ni pesa ndogo sana kuitegemea kwa biashara halafu huna kazi
Nunua gar blooWakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Mi hiyo nikiipata natoboa mapema sanaKwa sababu hujawahi kuipata unaweza kuiona ni nyingi sana. Subiri uipate ndipo utatuelewa tuna maana gani.
Ukijiajiri nako ukichoka itakuaje tena kiongoziKazi ninayo Ila nimechoka
Kwa sababu hujawahi kuipata unaweza kuiona ni nyingi sana. Subiri uipate ndipo utatuelewa tuna maana gani.
Mi hiyo nikiipata natoboa mapema sana