Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Upo mkoa gani mkuu, kama upo dar au Arusha au mwanzo nunua gari toyota vits au passo ziwe 3 kila moja milioni 9 Hadi 10. Au magari 2 na Bajaj 1. gari moja Kwa siku ni sh 25,000 Kila wiki ni Tsh 150,000 na Bajaj Kwa siku Tsh 20,000 na Kwa wiki ni Tsh 120,000. Hakikisha unajisajili kwenye taksi mtandao hasa Bolt na uber, usikuBali zifanye kazi kawaida. Kwa Hiyo kama ni magari 3 ni Tsh 1,800,000 Kila mwez.

Au kazitupie crdb mzigo flex wao Kila milioni 10 wanakupa Laki 9 Kwa mwaka hivyo Kwa milioni 30 watakupa milioni 2.7 Kwa mwaka na uamuzi ni wako unaweza kuchukua Mara moja Kwa mwaka au Mara mbili au mara 4 au hata Kila mwez kama mshahara Tsh Laki 2 na Elf 27. Uzuri biashara ya taksi mtandao usomamizi ni mdogo na haitumii sana muda
 
Upo mkoa gani mkuu, kama upo dar au Arusha au mwanzo nunua gari toyota vits au passo ziwe 3 kila moja milioni 9 Hadi 10. Au magari 2 na Bajaj 1. gari moja Kwa siku ni sh 25,000 Kila wiki ni Tsh 150,000 na Bajaj Kwa siku Tsh 20,000 na Kwa wiki ni Tsh 120,000. Hakikisha unajisajili kwenye taksi mtandao hasa Bolt na uber, usikuBali zifanye kazi kawaida. Kwa Hiyo kama ni magari 3 ni Tsh 1,800,000 Kila mwez. Au kazitupie crdb mzigo flex wao Kila milioni 10 wanakupa Laki 9 Kwa mwaka hivyo Kwa milioni 30 watakupa milioni 2.7 Kwa mwaka na uamuzi ni wako unaweza kuchukua Mara moja Kwa mwaka au Mara mbili au mara 4 au hata Kila mwez kama mshahara Tsh Laki 2 na Elf 27. Uzuri biashara ya taksi mtandao usomamizi ni mdogo na haitumii sana muda
Fix ni biashara kichaa..wao wanaoenda kukopesha hiyo pesa kwa riba kubwa..yeye anabaki kupokea laki 9 kwa mwezi..haijakaa sawa.

Ushauri afungue microfince tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Njoo tuwekeze kwenye kampuni za ujenzi
Nicheki hapa 0769652919
 
Back
Top Bottom