BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Usiache kazi kwa pesa hiyo. 30M ni pesa ndogo sana kuitegemea kwa biashara halafu huna kaziWakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Huo ni mtazamo wanguUmeghairi online tv?
M30?Usiache kazi kwa pesa hiyo. 30M ni pesa ndogo sana kuitegemea kwa biashara halafu huna kazi
Hongera Ndugu ila hujasema kama huo ni mkopo na je kama ni mkopo una mkopo mwingine wowote, Je kama ni mkopo Kato la mkopo huo ni kiasi Gani Kwa mwezi Kwa mikopo yote uliyonayo? Je una vyanzo vingine vyovyote vya kipato zaidi ya Ajira Yako na je kipato Hicho ukilinganisha na mshahara wako kikoje.Wakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Wakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
SioHongera Ndugu,ila hujasema kama huo ni mkopo na je kama ni mkopo unamkopo mwingine wowote,je kama ni mkopo Kato la mkopo huo ni kiasi Gani Kwa mwezi Kwa mikopo yote uliyonayo?je una vyanzo vingine vyovyote vya kipato zaidi ya Ajira Yako,na je kipato Hicho ukilinganisha na mshahara wako kikoje.Je una uzoefu kwenye biashara au unataaluma inayohusiana na maswala ya biashara .Kama maswali ni mengi zaidi ya majibu usiache kazi,ila tafiti aina ya uwekezaji ambazo ni rafiki,fikiria hata bond zile za benki kuu ambazo ni stress free.
Sio mkopoHongera Ndugu,ila hujasema kama huo ni mkopo na je kama ni mkopo unamkopo mwingine wowote,je kama ni mkopo Kato la mkopo huo ni kiasi Gani Kwa mwezi Kwa mikopo yote uliyonayo?je una vyanzo vingine vyovyote vya kipato zaidi ya Ajira Yako,na je kipato Hicho ukilinganisha na mshahara wako kikoje.Je una uzoefu kwenye biashara au unataaluma inayohusiana na maswala ya biashara .Kama maswali ni mengi zaidi ya majibu usiache kazi,ila tafiti aina ya uwekezaji ambazo ni rafiki,fikiria hata bond zile za benki kuu ambazo ni stress free.
Naamini umeiokota au umepewa zawadi.Wakuu habari.
Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri
Nawasilisha
Nina asset mbalimbali, nimeuza mojawapo ambayo sikuona faida yakeUmeipataje hyo
Kama kazi unayo unapata kidogo basi tulia usiwe na haraka fanya tafita za kutoshaNina asset mbalimbali, nimeuza mojawapo ambayo sikuona faida yake
Kazi ninayo Ila nimechokaKama kazi unayo unapata kidogo basi tulia usiwe na haraka fanya tafita za kutosha
Hiace Dar hakuna njiaNunua hiace uendeshe mwenyewe
Hii hapana, najaza dhambiUjenge guesthouse utapiga hela nyingi