Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Antenna anayo? Tuanzie hapo kwanza.
 
Naona hapo kuna shangazi na baba shangazi
 
Kwa umri wako na wake hamna tofauti wote nyie ni mashangazi tuu.Nyau nyie!!
 
Nyege zikiisha hutaacha kuona rangi zote
 
Kaka ume nizidi umri mbali Sana, ila bado una mambo ya kingese Sana.

Kwa umri wangu na hustle zangu nime kuacha mbali mno, ila bado nina taka zaidi na zaidi.

Nahisi niki fika hiyo 30, Forbes wata kuwa wamesha niweka kwenye jarida lao.
leta hoja man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…