Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Huuo wala siyo mshangazi kwako oa tu! Ni rika lako huyo!
 
Wewe 35, yeye 39 na bado unamuita lishangazi, si mmelingana tu nyie?

Don't make that grave mistake kwenda kuishi kwa huyo mwanamke.

Inabidi tukuambie tu maaana naona akili zimejaa kutu.
 
Sasa brother eron tuchukulie kwa mfano ingekua ni kijana wa miaka 25 kampenda mdada wa miaka 29 mwenye mtoto wa miaka 9 je hapo Huyu kijana wa miaka 25 ana muita shangazi Huyu wa miaka 29 why not me?
 
Bado huna

Uhalali wa kumuita shangazi, wote rika moja tu.
Sema usijaribu kwenda kuishi kwa huyo dada, atakuchoka hata miezi mitatu haitafika.
 
Ni kweli mkuu but sio Kwamba Sina fedha
Bado huna

Uhalali wa kumuita shangazi, wote rika moja tu.
Sema usijaribu kwenda kuishi kwa huyo dada, atakuchoka hata miezi mitatu haitafika.
 
Miaka 35,hujuwi nini cha kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…