Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Mkuu nenda agha kan kuna proceess unafanyiwa inaitwa fresh lymphatic drainage massage...Palepale stim ilikata mzee... had mda huu nimelala
Duh....Utakuwa ulikuwa unatumia Ile style ya reverse cowgirl.....poleee
😁😁😁😁 mahaba sio fujo mkuu , mtoa mada itakua anataka pesa yake irudi ndio maana kavunjika
Habar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada
Ooh wamekuroga wewe sasa............hawajaomba hata jina lako na la mama ila washakufanya bendera nusu mlingotiHabar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Wanaingiza wapi mkuu? Na mama yako mdogo alivyokupeleka ulimwambia nini kimekusibu na vip kuna maumivu ??Mkuu nenda agha kan kuna proceess unafanyiwa inaitwa fresh lymphatic drainage massage...
Wanakuingiza kitu kama spock ya baskeli ila ni ya shaba alafu wana kupaka mafuta flani hivi ya bardiiii
Baada ya hapo wanaanza kukufanyia massage ambayo kama una haja kubwa lazima ikutoke...
Baada ya hapo unakaa na hiko kichuma siku tatu kisha watakitoa....
Mkuu ni hatarrrr mi nilipelekwa na mama angu mdogo...
Mkuu umesoma hapo juu, kuwa nimeshaikanda na maji ya moto kiasichukua maji ya moto loweka kitambaa jikande pole pole
We mwanamke nicheck pm nna shida na wewe.Utakuwa ulikuwa unatumia Ile style ya reverse cowgirl.....poleee
Uvivu gani sasa, kwangu ni kawaida wife likimkolea huwa anaomba mwenyewe ashike usukani sio mara moja kwake ila sasa jana alinishtulia kwenye gia mashina ikakata clachUvivu umekuponza [emoji2957]
Ndio mkome kuwaambia matukunyema yaendeshe fwarasi
Nilimwambia mana ipo hivi mkuu hayo mambo ukisema ufiche fiche utoamini utapata ulemavuWanaingiza wapi mkuu? Na mama yako mdogo alivyokupeleka ulimwambia nini kimekusibu na vip kuna maumivu ??
Angalia pm yako mkuuNilimwambia mana ipo hivi mkuu hayo mambo ukisema ufiche fiche utoamini utapata ulemavu
Oooh, nikajua hio shaba wanaingiza huko kwa kukojolea, na nilianza kufurahia hio habari ya masaji hadi nilipofika kwenye kutoa haja kubwa nikapotezea hio masaji kumbe unafukuliwa na shaba,,,,,,,kwahio jamaa anatoka kwenye kuingiza hadi kuingizwa shaba,,,,,hizi masaji hadi unatoa haja kubwa zitupitie mbali,,...sema amenMkuu nenda agha kan kuna proceess unafanyiwa inaitwa fresh lymphatic drainage massage...
Wanakuingiza kitu kama spock ya baskeli ila ni ya shaba alafu wana kupaka mafuta flani hivi ya bardiiii
Baada ya hapo wanaanza kukufanyia massage ambayo kama una haja kubwa lazima ikutoke...
Baada ya hapo unakaa na hiko kichuma siku tatu kisha watakitoa....
Mkuu ni hatarrrr mi nilipelekwa na mama angu mdogo...
Wanaingiza kwenye tundu inaenda moja kwa moja hadi karibia na kibofu sijui yaan wakikuweka hiyo uume unakua umesimama tuu mda wote..Wanaingiza wapi mkuu? Na mama yako mdogo alivyokupeleka ulimwambia nini kimekusibu na vip kuna maumivu ??
Sawa mkuuAngalia pm yako mkuu
tujitahidi sana kabla ya kuvuta bangi tuwe tunauliza zimetokea nchi gani kwani siyo kila bangi ya nchi fulani inafaa kutumikaHabari wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwezi ku-Erect vizuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kweli naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarudi kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Mkuu acha tuu kile kidude ni chembamba mda wanaingiza wala hakina shida ila mda wa kufanya massage ndo sho inaanzia hapo maana kinakuwa kina unguzaOooh, nikajua hio shaba wanaingiza huko kwa kukojolea, na nilianza kufurahia hio habari ya masaji hadi nilipofika kwenye kutoa haja kubwa nikapotezea hio masaji kumbe unafukuliwa na shaba,,,,,,,kwahio jamaa anatoka kwenye kuingiza hadi kuingizwa shaba,,,,,hizi masaji hadi unatoa haja kubwa zitupitie mbali,,...sema amen
hauko serious,Mkuu kwa maelezo tu japo wengi wamekufuru ila nimepata hope kuwa pengine haijavunjika labda imeshtuka tu, maana hata saiz haiumi kiivo ila kusimama ndio naona kama haisimami kwa afya ile ya kunyooka inanyanyuka nyanyuka kwa vipindi na kuanguka mthili ya ndama aliezaliwa akijaribu kujikakamua kunyanyuka ngoja niroad kwanza nione kufikia kesho itakuwaje