Nimepata mshtuko wa uume, nahisi umevunjika au umeteguka

Blaza ulivyotoka hapo ulikua bado kundini😮
Kuna dawa unameza inarangi ya kijivu yaani kidonge kidogo ila kinavunjwa mara 4 alafu ndo unameza na vingine hiko kidonge kidogo uwezi dindisha wanasema mpaka mafuta yakauke ..

Kile kishaba kinatolewa baada ya siku tatu mkuu
 
Ndio shida ya kuiga unakuta Mkeo ni Tipwa tipwa alafu unamwambia aikalie.
Pole sana Brother tulia huku ukianza kufanya tendo kwa muda wa wiki itarudi kwenye hali yake
 
I Hapo ndio inaaga mazima.
 
Kinachovunjika ni mfupa sasa uumwe ni msuli( muscles na mishipa ya damu) unaanzaje kuvunjika? Hiyo ni strain bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…