jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Ukiona hadi mwanaume kaamua kupima DNA ujuwe kuna kitu anataka amthibitishie mkewe jambo flani!!Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.