Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.
Ukiona hadi mwanaume kaamua kupima DNA ujuwe kuna kitu anataka amthibitishie mkewe jambo flani!!
 
Kwa sisi Wanaume, mtoto ni mtoto tu. Tena huyo ni wa kiume ataendeleza kizazi cha jamaa ( Kama unajua unajua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…