Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...