Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

Us
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.

Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Wadau karibuni...
Isahau na mkongo mkuu piga pumbu vizuri io itakuwa connection toshaa
 
mkuu punguza hasira.
Siamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku comment😂
 
Uko sahihi, inawezekana watu wa kanisani kwako wakasoma,ukaonekana mpuuzi tu ikawa cancelled
😂😂 Mbona Mna makasiriko sana, au nikupe namba zao uwatafute uwaambie nimepost JF? Unafiki ni biashara ya madawa hii au bangi? Ulisikia wapi injili Ina fichwa fichwa?🤣🤣🤣 sema nikupe namba zao uwashtue basi wa cancel
 
Wewe unaonekana ni mshamba halafu ni limbukeni, unashauriwa vitu vya kweli unaleta ujuaji.
 
Wewe ndo mshamba na mlimbukeni, kwahyo unachotaka kusema nitarogwa au? Kila Mtu ana Imani yake, si lazima Mimi kukubaliana na wewe na Wala sio lazima wewe kukubaliana na Mimi, wewe Baki na Imani Yako ya kukaa kimya ukiogopa kusema kwamba watakuchawia ila Mimi Huwa nasema na mambo yangu yanaenda.
 
Kutoboa kungekuwepo basi wamexco wasingekimbilia marekani, zote hizo ni nchi jirani
 
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.

Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Wadau karibuni...
Waliokupa hiyo offer hawakukupa maelekezo ya kutosha?
 
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.

Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Wadau karibuni...
Nenda katengeneze mazingira ya kwenda maeneo yenye fursa, ila Brazil kuna half life kama bongo tu
 
Siamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku comment😂
Utafanikiwa ila usiweke matarajio makubwa
 
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.

Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Wadau karibuni...
Ndugu habari za leo, kufanikiwa au kuto kufanikiw kwa mtu inategemeana na yeye mwenyewe anavyojipanga na kujiamulia lipi lililo bora na kujikatalia yapi yaliyo mabaya ya kurudisha nyuma maendeleo yake.
Hakuna mahala panakosa fursa ila mchakato wa akili ya Mwanadamu ndio humsaidia kufikia malengo ktk maisha yake na familia yake. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom