Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

Bora wewe umefafanua ila kwa vile umeanza na dharau basi ushauri wako ni BURE, kingine hujawahi sikia watu wanafundisha kuwa muwazi na kushirikisha watu kabla ya kufanya maamuzi??? 😂 Mimi ndo maana haya mambo sipendagi kusikiliza Yani ni kama afya tu, au hizo nazo ni akili zangu za shule?
Sawa.
Chaguo ni lako lakini najua nimefikisha ujumbe. Utapata kitu tu with time.
Nimetimiza wajibu. Huo ni wajibu wangu kusaidia nikiona naweza.
 
Hiyo ni hatua Moja pembeni, hujaenda mbele Wala hujarudi nyuma, ila muda hausimami
 
Siamini katika Hilo, Mimi naamini kwa Mungu tu, na nyie ndo Huwa wachoyobwa michongo mkifika majuu. Huwa natangaza siku zote na Huwa nafanikiwa baadhi ya mambo.
Nimetafuta sijapata ndo maana nikauliza, kama nimekukera si lazima ku comment😂
Mkuu unaonekana unahasira za kitoto, Brazil utapigwa Shaba.
 
Back
Top Bottom